Pre GE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katika mkutano wa Wananchi na Mbunge jimboni Kongwa Spika Mstaafu Mzee Job Ndugai ametambua nguvu ya Chadema na kuwakaribisha Kwenye Uchaguzi

Nimeshangaa sana 🐼

Baadae Mlale unono πŸ˜€
Nafhani huu ndio uchaguzi wake wa mwisho
 
Katika mkutano wa Wananchi na Mbunge jimboni Kongwa Spika Mstaafu Mzee Job Ndugai ametambua nguvu ya Chadema na kuwakaribisha Kwenye Uchaguzi

Nimeshangaa sana 🐼

Baadae Mlale unono πŸ˜€
Unashangaa? Wanatambulika TZ ile nyomi ya wazuia maandamano?
 
Mzee wa ovyo kabisa huyu
 

Attachments

  • downloadfile-11.jpg
    30.5 KB · Views: 1
Huyu fagio la chuma wasimteke tu.
 
Ana bahati huyo angechapwa viboko kama yule mwenzie
 
Kuna Kila dalili uchaguzi mkuu 2025, utakuwa mgumu kwenye majimbo watu waliopita bila kupingwa
Mgumu sana watu watauana sana kama samia asipoingilia kati na kupitisha anaowataka vita ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…