HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Nadhani ungepewa ya kulinda kabisa maeneo yote... Huyu ndugu yetu aliamua kukaa relini ili apate hisia ya alicho kuwa anakisikilizaDaah kuna haja sasa nipewe tenda ya kuzungushia reli uzio au nipewe tenda ya kusambaza vijana maeneo reli inapopita kufunga maspika ya matangazo ya tahadhari.may his soul rest in peace
ulozi upoHakusikia sauti, sawa
Hadi mtikisiko wake nao hakusikia??
Eti misondo[emoji23]Sound ya singeli amapiano misondo
Si mchz
Ova
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, unakaa juu ya reli na earphone amevaa. Halafu hizi lugha ya kusheria eti "aligonga treni", wanasheria mwogopeni MunguMkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli.
Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi.
Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa alikuwa amekaa juu ya reli akisikiliza muziki kwenye spika za masikioni, hivyo hakusikia honi za treni.
Athumani Sweya, aliyeshuhudia tukio hilo amesema aliiona treni ilipokuwa inapita na ilipiga honi lakini kijana huyo hakusikia.
Anasema alipotaka kumsukuma ili atoke relini treni tayari ilikuwa imeshafika na kuigonga.
David Zabron, baba mzazi wa Laurent, akizungumza akiwa eneo la tukio amesema kijana wake aliondoka nyumbani saa 11 alfajiri akisema anaenda kufanya mazoezi uwanjani.
Hakugongwa na treni, aliigonga treniTena? Maana miaka kadhaa iliyopita mwingine aligongwa hivyo hivyo relini dar akitembea kwenye reli na earphone masikioni. Na wale wanaotembea barabarani huku wakichati kwenye simu zao bodaboda zitawamaliza
mwamba ka commit suicide huyo. alidhamiria kugongwa. ushahidi wa mazingiraHuyu jamaa huenda pia alikua na nia ameogopa kujipiga kitanzi !! Lile dude lilivyo na kishindo yana mita 300 kabla ya kukufikia ile chuma inakua inatikisika balaa na honi yake hata ungeweka sauti hadi mwisho itakustua tu asee !!