uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Hakusikia sauti, sawa
Hadi mtikisiko wake nao hakusikia??
Alisikia akafanya makusudi kufa, maana umesisitiza kana kwamba unajua theory ingine ya tukio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakusikia sauti, sawa
Hadi mtikisiko wake nao hakusikia??
Shetani anasingiziwa hadi visivyomuhusu sasa ili apate faida ganiUnaweza sema hakusikia honi kumbe sheitwani alimng'ang'aniaa hadi akagongwaa hapo..
Jamani tukitoka ma kwetu tukumbuke Mungu jamani tusali kila hatua dua.