uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Dec 30, 2023 #41 Mufti kuku The Infinity said: Hakusikia sauti, sawa Hadi mtikisiko wake nao hakusikia?? Click to expand... Alisikia akafanya makusudi kufa, maana umesisitiza kana kwamba unajua theory ingine ya tukio.
Mufti kuku The Infinity said: Hakusikia sauti, sawa Hadi mtikisiko wake nao hakusikia?? Click to expand... Alisikia akafanya makusudi kufa, maana umesisitiza kana kwamba unajua theory ingine ya tukio.
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 5,305 Reaction score 5,355 Dec 30, 2023 #42 covid 19 said: Unaweza sema hakusikia honi kumbe sheitwani alimng'ang'aniaa hadi akagongwaa hapo.. Jamani tukitoka ma kwetu tukumbuke Mungu jamani tusali kila hatua dua. Click to expand... Shetani anasingiziwa hadi visivyomuhusu sasa ili apate faida gani
covid 19 said: Unaweza sema hakusikia honi kumbe sheitwani alimng'ang'aniaa hadi akagongwaa hapo.. Jamani tukitoka ma kwetu tukumbuke Mungu jamani tusali kila hatua dua. Click to expand... Shetani anasingiziwa hadi visivyomuhusu sasa ili apate faida gani