Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

Joined
Dec 10, 2019
Posts
82
Reaction score
37
Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakachoajiri watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5.

Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo Kwa ajili ya story ya kuvifufua
 
Kumbe nawewe umeliona.....yani budget ya mwezi ya kiwanda inazidi budget za wizara nyingi ikioma wizara ya viwanda pamoja na ya kilimo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
... na wala sio bajeti ya kiwanda Mkuu, bali bajeti ya mishahara! Mzushi mkubwa yule!
 
Hao wanaomba ajira watapewa
tapatalk_1558951629417.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na chukua fursa hii kuwatakia heri ya Christmas na heri ya mwaka mpya
Nalog off
 
Hizi ni propaganda za uchaguzi kiwanda kipi kiajiri watu 100,000 kwa mshahara wa 500,000 hapa Tz ndo kitakua cha kwanza.......hiyo sera ya viwanda Jpm elimishida anapata 10% kafanikiwa kungine sio kweye ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Ndiyo nguvu ya Serikali ni kitekeleza bila kuzingatia mnasemaje maana vipingamizi huwa vinaisha baada ya kitekeleza Kwa Asilimia 💯
 
Yani kuna watu wanapokea habar hata uwezo wa kufikiri hawana, we kila kitu ni kushangilia hata wakiambia tumegundua dawa wa kutia kwenye kinyesi ukala tena kama chakula wao ni ndiooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kuna watu wanapokea habar hata uwezo wa kufikiri hawana, we kila kitu ni kushangilia hata wakiambia tumegundua dawa wa kutia kwenye kinyesi ukala tena kama chakula wao ni ndiooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Ndiyo utamu wenyewe wa KAZI za black American Ndiyo KAZI zao lakini hamtakiwi kujifunza na kitekeleza nchini mwenu saizi ni muda wa kusafiri kuangalia wanavyofunga na kupack mboga ULAYA maana rais alikuwa anawaza PE na kuna watu tutawachezea na hawatakiwi kupanda vyeo Hadi tufanyikiwe tunachokitaka
 
Acha uongo.Serikali haifanyi biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Inafanya biashara,wewe huoni inavyonunua ndege pia Mgodi wa Acacia umepewa jina la Twiga,na hicho kiwanda kitakacho ajili watu laki moja,nadhani ni idadi ya Wamachinga ,madereva wa boda na mama lishe,wamefikia laki moja kwa Dodoma.
 
Back
Top Bottom