Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

Mradi mzuri Sana,Kuna mahitaji makubwa Sana ya mboga za majani nchi hi,hasa mrenda,kisamvu,mnafu na mchicha.
Kiwanda kitasaidia Sana kuondoa tatizo la mboga had a kipindi Cha kiangazi
 
Inafanya biashara,wewe huoni inavyonunua ndege pia Mgodi wa Acacia umepewa jina la Twiga,na hicho kiwanda kitakacho ajili watu laki moja,nadhani ni idadi ya Wamachinga ,madereva wa boda na mama lishe,wamefikia laki moja kwa Dodoma.
Duu wakiona mama pekeyake wanaojihusisha na hiyo KAZI wanazidi 100000 wengine ni rahisi kuboresha mambo Yao hawajataka Tu Kufanya hivyo wanadubiri serikali ukigusa Tu serikali haifanyi biashara..
 
Hatimaye serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kupack mbogamboga maana saizi akina mama wengi wanafunga mboga zao saizi serikali umeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakacho ajili watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5..

Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo Kwa ajili ya story ya kuvifufua
Uandishi wako unatosha kuonesha kiwango chako cha elimu, kabla ya kujikita kwenye mambo yasiyo na tija kwako bora ungeutumia muda kujiongeza kielimu.
 
Uandishi wako unatosha kuonesha kiwango chako cha elimu, kabla ya kujikita kwenye mambo yasiyo na tija kwako bora ungeutumia muda kujiongeza kielimu.
Hahaha hawa hapa wamemaliza tukutane mtaani kuweka uraSIMU kwenye bidhaa ili tupate ajila la sivyo mtakuwa na uandishi mbovu kushindwa Mie

Saizi ni kuuwa mawazo yote Kwa dedication ya wimbo huu au VIP hakuna kitu Dodoma but is about money watu wapo busy bure

Kiwanda kinachoajiri watu laki moja! Mmh aisee hii fiksi Sasa imezidi unajua mkusanyo wa watu laki moja ww? Yaani watu wajae taifa stadium mbili uwakusanye kwenye kiwanda kimoja and then at end of month uwalipe 500,000, mmh ndo maana wasiojua kusoma na kuandika ndo mashabiki wenu wa hilo chama!
 
Ni Bora muendelee kudharau industry za wenzenu wakati mnajazana kwenye taasisi ambazo hazijui maisha ya hela KUINGIA KWENYE MZUNGUKO endeleeni kuonesha ishara kwenye kampeni ya kuzungusha mikono haya labda wengi
 
Hizo mboga mboga zitauzwa kwenye soko la wapi, na sisi wanyonge tujipange kununua kuepuka huu mchicha unaomwagiliwa kwa maji ya sumu kutoka mto msimbazi
 
Back
Top Bottom