Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakachoajiri watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5.

Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo Kwa ajili ya story ya kuvifufua
Aisee watu laki moja ...mkuu huna hata aibu kidogo! Hivi ni kiwanda gani hicho ,hata viwanda vya enzi mapinduzi ya viwanda havikuwa hivyo!
 
Back
Top Bottom