New City Project
Member
- Dec 10, 2019
- 82
- 37
Mishahara peke yake 50bn/- per month (600bn per year) kiwanda cha mbogamboga Dodoma hicho! Ha ha ha!Hizi ni propaganda za uchanguzi kiwanda kipi kiajiri watu 100,000 kwa mshahara wa 500,000 hapa Tz ndo kitakua cha kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nawewe umeliona.....yani budget ya mwezi ya kiwanda inazidi budget za wizara nyingi ikiwemi wizara ya viwanda pamoja na ya kilimo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mishahara peke yake 50bn/- per month (600bn per year) kiwanda cha mbogamboga Dodoma hicho! Ha ha ha!
... na wala sio bajeti ya kiwanda Mkuu, bali bajeti ya mishahara! Mzushi mkubwa yule!Kumbe nawewe umeliona.....yani budget ya mwezi ya kiwanda inazidi budget za wizara nyingi ikioma wizara ya viwanda pamoja na ya kilimo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Ndiyo nguvu ya Serikali ni kitekeleza bila kuzingatia mnasemaje maana vipingamizi huwa vinaisha baada ya kitekeleza Kwa Asilimia 💯Hizi ni propaganda za uchaguzi kiwanda kipi kiajiri watu 100,000 kwa mshahara wa 500,000 hapa Tz ndo kitakua cha kwanza.......hiyo sera ya viwanda Jpm elimishida anapata 10% kafanikiwa kungine sio kweye ajira
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma ili iwaje!? Ni Bora kuna kilimo cha kumwagiliakwa ukame ule mboga zitatoka wapi?tusubiri farkwa dam project!!!
Labda wizara hizo wanafanya KAZI kubwa Sana zaidi ya story kama jamiiforum... na wala sio bajeti ya kiwanda Mkuu, bali bajeti ya mishahara! Mzushi mkubwa yule!
Hiyo Ndiyo utamu wenyewe wa KAZI za black American Ndiyo KAZI zao lakini hamtakiwi kujifunza na kitekeleza nchini mwenu saizi ni muda wa kusafiri kuangalia wanavyofunga na kupack mboga ULAYA maana rais alikuwa anawaza PE na kuna watu tutawachezea na hawatakiwi kupanda vyeo Hadi tufanyikiwe tunachokitakaYani kuna watu wanapokea habar hata uwezo wa kufikiri hawana, we kila kitu ni kushangilia hata wakiambia tumegundua dawa wa kutia kwenye kinyesi ukala tena kama chakula wao ni ndiooo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya mafuta kupitia GPSA ruksa na Biashara ya Mbegu kupitia ASA ruksa kweli utekelezaji huondoa story ni kitekeleza tu
Inafanya biashara,wewe huoni inavyonunua ndege pia Mgodi wa Acacia umepewa jina la Twiga,na hicho kiwanda kitakacho ajili watu laki moja,nadhani ni idadi ya Wamachinga ,madereva wa boda na mama lishe,wamefikia laki moja kwa Dodoma.
Ni uongo tuu lakini ni project nzuri kufanyika saizi ni kitekeleza kimya kimya🙊🙊🙊