Hili ni suala la muhimu sana kwani linagusa maslahi ya watumishi WA Nchi hii.Hakuna kikubwa na cha ajabu atakachofanya kwa wafanyakazi wa Tanganyika huyo mkoloni kutoka Zanzibar
Kama hela nyingi anapeleka sehemu ndogo kama Zanzibar je hiyo ya kuwaongezea watanganyika mishahara kwa rate za maana ikowapi?
Kuongeza mishahara, bila kudhibiti mfumuko wa bei, na kupunguza Makati umivu ya kodi, ushuru na kadhalika nisawa na kuumiza wafanyakazi.kilio kikubwa cha watumishi ni mishahara,
lkn nadhani kuna watumishi wanalipwa mamilioni, sasa kweli hao wanapaswa kuongezwa?! sidhani.
wanao paswa ni wale wa kima cha kawaida/chini. ili angalau na wao wainuke
Toa neno alwatan wa JFThanks for this.
P
Haya mzee wa Buzilankende chukua hiyo link chini usikilize mwenyeweHili ni suala la muhimu sana kwani linagusa maslahi ya watumishi WA Nchi hii. Mlioko karibu hapo JAMHURI STADIUM Tupeni update kinachoendelea, maana kumbukeni wengine ruko Huku Buzilankende.
Mimi nadhani Maisha yao waachie wenyeweDawa ya kupata mshahara mkubwa ni kuacha kazi na kwenda kufanya kazi nyingine, namaanisha usiache kazi kwenda kutafuta kazi nyingine bali tafuta kazi nyingine ukipata kazi andika 30 days notice kisha nenda kafanye kazi mpya, shida watumishi wengi wa serikali wanataka wakae serikalini mpaka wastaafu...ifike mahala unafanya kazi miaka 5 unatimka sehemu nyingine kutumia uzoefu wako sio unakomaa tu serikalini unasubiri huruma ya Rais ya Mei Mosi na akiingia mjuaji hakuna kupandisha mshahara hata miaka 5 kama kwa Rais aliyepita. Na akicheza vizuri na akili za wananchi anawashinda maana watumishi wa serikali hawazidi million 1 kati ya Watz 55million.
Tupo kwenye matuta mkuuHii mechi ya leo baina ya Waajiri na Waajiriwa, nani kuibuka kidedea?
Nakushukuru sana, Wana Buzilankende wote watapata habari Moja Kwa Moja Toka DomHaya mzee wa Buzilankende chukua hiyo link chini usikilize mwenyewe
LIVE: Maadhimisho Mei Mosi 2022
Maadhimisho ya kilele cha ya Sikukuu ya Wafanyakazi Dunia yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodomawww.mwananchi.co.tz