Lelyonka
Senior Member
- Apr 14, 2021
- 156
- 154
Hili ni suala la muhimu sana kwani linagusa maslahi ya watumishi WA Nchi hii.Hakuna kikubwa na cha ajabu atakachofanya kwa wafanyakazi wa Tanganyika huyo mkoloni kutoka Zanzibar
Kama hela nyingi anapeleka sehemu ndogo kama Zanzibar je hiyo ya kuwaongezea watanganyika mishahara kwa rate za maana ikowapi?
Mlioko karibu hapo JAMHURI STADIUM Tupeni update kinachoendelea, maana kumbukeni wengine ruko Huku Buzilankende.