Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Hapo ulipo jirekodi unaichana picha ya samia uone kitakachotokea.....hii ndio Tanzania ambayo mimi huwa naamini mahakama ipo kwa ajili ya wenye pesa na vyeoKumbe video sio kielelezo tosha cha kutenda kosa pamoja na kuonekana kwao. Ni mwendo wa kubaka na kuwala tigo zao bila kulemba. Hii ndio Tanganyika ya CHURA anayo itaka.
Mm nilijua haya yoooote baada ya yule kamanda mtuhumiwa kumpiga mkwala ndugu mwandishi. Alikua anajua hakuna kesi ya kujibu. Sasa yule mwandishi kazi anayo kamanda anarejelea kitaa kama alivyo ahidi atamtafuta.kumekucha kumekucha ndugu mwandishi. Kaa mkao wa kuliwa.
Hivi uwa mnasoma na kuelewa kweli kilichoandikwa?Limeisha tayali kama yanavyo malizika mengine
Umeambiwa kesi ya msingi bado ipo.soma habari kwanza.Kwahiyo hiyo kesi imefutwa? yani hakuna tena kesi hapo?
Je watuhumiwa ndio wataachiwa huru kwa hukumu hiyo?
Wataalamu wa sheria tunaomba mtueleweshe hapa.
😄Binti mzoefu yule na vijana pia legelege.
Binti alikuwa anaonesha kabisa ana nguvu za kutosha kuendelea tena wao wameshajichokea.
Sina ushamba huo, wa kuweka dau.Weka dau
Yaani asilimia 80 ya wachangiaji hawajaelewa kilichoandikwa na mleta mada, pamoja na kuwa ameandika kwa kiswahili.Uwekezaji mkubwa wa ccm unazaa matunda.
Nani kama mama, hakuuuna.
Hoja yangu,mawakili walitafutwa na wabakaji kuiisimamia kesi au mawakili wamejitolea kufanya hivyo?
Lakini najiuliza hao mawakili wanataka kwenda mahakamani kutetea nini?
Watu wanajisahau Sana, chizi huwa anachekesha akiwa hatoki kwenu.Muogope Mungu ndugu yangu na weka akiba ya maneno lililotokea kwa mtoto wa mwenzio usishangae likatokea kwa mwanao au wewe ni mkristo?
Kesi ile inasikilizwa faragha (chamber Court) hata waandishi wa habari hawaruhusiwi kuingia.Watz tuna mihemko mitandaoni tu, ila action ni 0.
Si ajabu hamna hata waliokua wanaenda mahakamani huko zaidi ya kusubiri taarifa mitandaoni tu.
Kwanini?Kesi ile inasikilizwa faragha (chamber Court) hata waandishi wa habari hawaruhusiwi kuingia.
Kama umeshafuatilia huwa wanasema tu shahidi namba fulani katoa ushahidi wake. Lakini hawaelezi kwa undani.
Kesi za namna ile huwa zinasikilizwa hivyo
Sina utaalamu Sana na masuala ya Sheria lkn siku ile ya Kwanza Dpp akisema kwamba wanafanya hivyo Ili kumlinda victim asiendelee kufedheheka, na ndio maana hata jina hatajwi, kwenye hati ya mashitaka anatajwa Kama XYKwanini?
Mimi ni mmoja wa watabiri wa kusema kwamba hawa watuhumiwa wataachiwa kutokana na udhaifu wa ushahidi, lakini kuna wale waling'ang'ana kwamba video ipo.
Video siyo ushahidi mzuri kwa sababu una vipengele vingi na hata hivyo, muda ulikuwa umeenda sana kiasi kwamba ikawa vigumu kutambua ni uume wa nani uliingia maungoni mwa Binti.