Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe!

Askari Polisi wawili wameuawa huko Mpwapwa baada ya kutokea majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa

Mtuhumiwa huyo Athanasia Malenda naye ameuawa.
---

Askari Polisi wawili wamefariki dunia wakati wakifanya majibizano ya risasi na Mtuhumiwa Atanasio Malenda (30) ambaye walienda kumkamata usiku wa kuamkia leo December 18,2024 katika Kijiji cha Msagali Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma ambapo Mtuhumiwa huyo pia amefariki baada ya majibizano hayo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi amesema “December 18,2024 majira ya saa saba usiku huko katika Kijiji cha Msagali Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma Askari Polisi D/Cpl. Jairo Boniface Kalanda na Pc. Alfred John walifariki dunia katika mapambano ya risasi wakati wakimkamata Atanasio Malenda (30), Mkulima, Mkazi wa kijiji cha Msagali aliyekuwa anatuhumiwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha ambapo alilkuwa amemjeruhi Yohana Lameck na kumpora kiasi cha Tsh. milioni “

“Askari Polisi hao wakiwa na wenzao walipata taarifa kuwa Mtuhumiwa huyo aliyekuwa anatafutwa yuko nyumbani kwake katika Kijiji Cha Msagali na walifika Kijijini hapo na kutafuta Uongozi wa Kijiji na kuelekea nao nyumbani kwa Mtuhumiwa huyo ambapo Mtuhumiwa huyo alitoka ndani na kuanza kuwashambulia Askari na katika majibizano hayo ndipo vikatokea vifo hivyo”

“Mtuhumiwa Atanasio Maleda nae amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Wilata ya Mpwapwa kutokana na majeraha aliyoyapata wakati wa mapambano hayo, aidha katika majibizano hayo Askari D/cpl. Msuka na Raia mmoja anayefahamika kwa jina la Masima Nyau wamejeruhiwa na wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa”

Source: Ayo TV

Inasikitisha sana 🐼
Polisi poleni kwa loss ya kuondokewa na vijana wenu wawili wakiwa kazini.

Tuendelee kudhibiti uhalifu unaoenea kwa kasi sana. Masuala ya kisiasa achaneni nayo naaba siyo kazi tunayowalipa mshahara.

A moment of silence for the fallen heroes. May their memory be a blessing
 
Ukiona mtu anashangilia kuuawa kwa polisi jua mtu huyo ni jambazi linalnatakiwa kuuawa tena bila kulihoji wala ushahidi wa ujambazi wake ni kulitwanga risasi tu ukiona linashangilia kifo cha kuuawa polisi
Umri wako na unachoandika ni kama pilau kwa mlenda.

Andika positively, yale negatively yapite kama hauyaoni
 
Askari Polisi wawili wameuawa huko Mpwapwa baada ya kutokea majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa

Mtuhumiwa huyo Athanasia Malenda naye ameuawa.
---

Askari Polisi wawili wamefariki dunia wakati wakifanya majibizano ya risasi na Mtuhumiwa Atanasio Malenda (30) ambaye walienda kumkamata usiku wa kuamkia leo December 18,2024 katika Kijiji cha Msagali Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma ambapo Mtuhumiwa huyo pia amefariki baada ya majibizano hayo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi amesema “December 18,2024 majira ya saa saba usiku huko katika Kijiji cha Msagali Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma Askari Polisi D/Cpl. Jairo Boniface Kalanda na Pc. Alfred John walifariki dunia katika mapambano ya risasi wakati wakimkamata Atanasio Malenda (30), Mkulima, Mkazi wa kijiji cha Msagali aliyekuwa anatuhumiwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha ambapo alilkuwa amemjeruhi Yohana Lameck na kumpora kiasi cha Tsh. milioni “

“Askari Polisi hao wakiwa na wenzao walipata taarifa kuwa Mtuhumiwa huyo aliyekuwa anatafutwa yuko nyumbani kwake katika Kijiji Cha Msagali na walifika Kijijini hapo na kutafuta Uongozi wa Kijiji na kuelekea nao nyumbani kwa Mtuhumiwa huyo ambapo Mtuhumiwa huyo alitoka ndani na kuanza kuwashambulia Askari na katika majibizano hayo ndipo vikatokea vifo hivyo”

“Mtuhumiwa Atanasio Maleda nae amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Wilata ya Mpwapwa kutokana na majeraha aliyoyapata wakati wa mapambano hayo, aidha katika majibizano hayo Askari D/cpl. Msuka na Raia mmoja anayefahamika kwa jina la Masima Nyau wamejeruhiwa na wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa”

Source: Ayo TV

Inasikitisha sana 🐼
Kifo ni kifo tu, no big deal.
Huyo majeruhi naye afe tu.
 
dj play kifo ni kifo yake chura kiziwi
Screenshot_20241207-221210.jpg
 
Dawa ya majambazi ni kuyauwa tu.
Polisi msicheleweshe mnapo enda kukamata Jambazi.

Poleni sana kwa Askari walio poteza maosha
Unaenda kumkamata jambazi ambaye unajua ana silaha, lakini huvai bullet proof jacket, kuna kitu cha kujifunza hapo
 
Are you sure police wakiweka gear zao chini na wahalifu wakajua hawataguswa utakuwa kwenye nafasi ya kuandika upuuzi huu,utaweza kulala ucku na ukajamba kama kawaida yako?.Chuki yako dhidi ya police inaashiria yafuatayo either ulidhulumiwa/kuonewa na askari,mfuata mkumbo wa wanasiasa au muhalifu.Msitutoe kwenye reli na agenda zenu za kipumbavu kiasi cha kubariki uhalifu wa aina yoyote kisa tu una chuki na police.
Nakuona ukiwa kwenye mazoezi ya kuua, what goes around comes around. Mkiuawa on action majority ya innocent people wanafurahi , using your common sense can't you figure out the reasons? Whether mlikuwa mnapambana na majambazi(though very few trust whatever you say these days) au mlikuwa kwenye mipango ya kumteka mtu. Reputation yenu mmeiharibu wenyewe kwa kukubali kutumika kisiasa na kwa ufedhuli wenu wa kupenda rushwa, kuonea raia, kudhulumu watu, kuiba na kushirikia na wahalifu vilevile huwa mnashiriki direct kwenye uhalifu especially mkihakikishiwa kwamba kuna fungu la maana kwenye mission husika.
Kalagabaho na ubweze wako.
Screenshot_20241220-065814.jpg
 
Polisi ndiyo wanaokosesha watu usingizi for your information, hofu za kutekwa na kuuawa zimezidi kutapakaa corners zote za jamuhuri. Bila ya polisi tutapata usingizi mwanana sana so cut your damn bull crap.
 
Ukiona mtu anashangilia kuuawa kwa polisi jua mtu huyo ni jambazi linalnatakiwa kuuawa tena bila kulihoji wala ushahidi wa ujambazi wake ni kulitwanga risasi tu ukiona linashangilia kifo cha kuuawa polisi
Kifo ni kifo, na raia wema wataendelea kushangilia vifo vya hao majambazi na wauaji wavaa sare wanaopokea mshahara kwa pesa za kodi za wananchi.
Mipolisi imekuwa mishenzi na mipumbavu, iendelee kuuawa tu.
 
Polisi ndiyo wanaokosesha watu usingizi for your information, hofu za kutekwa na kuuawa zimezidi kutapakaa corners zote za jamuhuri. Bila ya polisi tutapata usingizi mwanana sana so cut your damn bull crap.
 
Attachments

  • 01c8518100bb154cd686da32845d00b2.jpg
    01c8518100bb154cd686da32845d00b2.jpg
    13 KB · Views: 4
Nakuona ukiwa kwenye mazoezi ya kuua, what goes around comes around. Mkiuawa on action majority ya innocent people wanafurahi , using your common sense can't you figure out the reasons? Whether mlikuwa mnapambana na majambazi(though very few trust whatever you say these days) au mlikuwa kwenye mipango ya kumteka mtu. Reputation yenu mmeiharibu wenyewe kwa kukubali kutumika kisiasa na kwa ufedhuli wenu wa kupenda rushwa, kuonea raia, kudhulumu watu, kuiba na kushirikia na wahalifu vilevile huwa mnashiriki direct kwenye uhalifu especially mkihakikishiwa kwamba kuna fungu la maana kwenye mission husika.
Kalagabaho na ubweze wako.
View attachment 3180677
We endeleza ujambazi tu,utafikiwa na wewe utachinjwa vilevile ili raia wema waishi kwa amani,mbwa koko wewe.
 
kwanini hakuua wote maaneeneer , hata aibu hawaoni eti walienda kumkamata usiku wa manane, nadhani dawa ndio hii mpaka waanze kuheshimu watu, maana hao jamaa wanajikuta sana.
Unafurahia polisi kuuwawa?
 
Back
Top Bottom