Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe!

Dawa ya majambazi ni kuyauwa tu.
Polisi msicheleweshe mnapo enda kukamata Jambazi.

Poleni sana kwa Askari walio poteza maosha
Sasa huoni tunapata hasara.? Washughulikiwe kwa akili sio kama vita. Watalipa hasara jeshi letu
 
Dawa ya majambazi ni kuyauwa tu.
Polisi msicheleweshe mnapo enda kukamata Jambazi.

Poleni sana kwa Askari walio poteza maosha
Unafiki tuu , wanao waua kwa mlengo wa kisiasa wanakosa gani, sina cha kuwapa pole hawa askari rushwa na siasa wanao tunyanyaasa mitaani huku wa tz
 
Mpumzike kwa amani polisi wetu,ni kheri ufie kazini wakati ukitetea usalama wa raia na mali zao kuliko kufia kitandani. Ndugu zangu watanzania kheri wafe askari wawili ila nae amekufa, raia jambazi mwenye silaha ya moto ni hatari kuliko huo uhai wa hao asikari wawili waliojitoa mhanga kuokoa maisha ya watanzania zaidi ya milion65. Hao majambazi ndio wasafirisha dawa za kulevya,watekaji,wanyang'anyi na ni wahujumu uchumi. Nitoe rai kwa serikali, toeni fadhira kwa familia za maaskali waliochagua kufa kuitetea taifa. Mmevitendea haki viapo vyenu asikari wetu RIP.
Unafiki tuu! Polisi hawa watanzania hawajawahi kuwa wema kwa raia.
 
Sababu police ndo wanavyoandikaga? Au umeona nimeguswa?.kimsingi lazima tukubali Police wana mapungufu mengi especial linapokuja swala la utoaji wa haki bila kutoa pesa.Lakini hatuwezi fika point ya kuwashangilia majambazi kisa wameua police.
Ukiona mtu anashangilia kuuawa kwa polisi jua mtu huyo ni jambazi linalnatakiwa kuuawa tena bila kulihoji wala ushahidi wa ujambazi wake ni kulitwanga risasi tu ukiona linashangilia kifo cha kuuawa polisi
 
Jambo muhimu nimeona kila taarifa inasisitiza kwamba walipita kwa uongozi wa kijiji.

Sijui kwanini limesisitizwa sana hili jambo.

R.I.P Askari wetu wamekufa kishujaa wakitekeleza majukum yao ya Kizalendo
Acha hizo kifo ni kifo tu kufa kishujaa ndio nini.
Kiufupi nikwamba hao police walienda kutaka kupiga dili sasa dili limekuwa dirisha.

Polisitz acheni njaa mtakwisha tena hapo hawakupita hata serikali za mtaa hiyo ni zuga tu. Sasa ona mwamba ameshinda 2:1 na zilizogonga mwamba 2
 
Ukiona mtu anashangilia kuuawa kwa polisi jua mtu huyo ni jambazi linalnatakiwa kuuawa tena bila kulihoji wala ushahidi wa ujambazi wake ni kulitwanga risasi tu ukiona linashangilia kifo cha kuuawa polisi
Kifo ni kifo tu.
 
Mpumzike kwa amani polisi wetu,ni kheri ufie kazini wakati ukitetea usalama wa raia na mali zao kuliko kufia kitandani. Ndugu zangu watanzania kheri wafe askari wawili ila nae amekufa, raia jambazi mwenye silaha ya moto ni hatari kuliko huo uhai wa hao asikari wawili waliojitoa mhanga kuokoa maisha ya watanzania zaidi ya milion65. Hao majambazi ndio wasafirisha dawa za kulevya,watekaji,wanyang'anyi na ni wahujumu uchumi. Nitoe rai kwa serikali, toeni fadhira kwa familia za maaskali waliochagua kufa kuitetea taifa. Mmevitendea haki viapo vyenu asikari wetu RIP.
Hao walitaka kupiga dili la sikukuu sasa sikukuu itawakuta eidha mochwari au kaburini.

Kumbukeni kifo ni kifo tu.
 
Mod kichwa cha habari kingesomeka mkulima malenda amewazawadia watanzania zawadi ya chrismasi na mwaka mpya kisha kwenda mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa baba wa mbinguni amina kubwa
 
Natambua fika majambazi wapo, ila kwa nchi ilipofika ni ngumu sana kuwaamini Polisi kwa lolote lile.
wamekutana majambazi waliohalalishwa na jambazi wa kienyeji ila RIP jambazi wa kienyeji
 
Dawa ya majambazi ni kuyauwa tu.
Polisi msicheleweshe mnapo enda kukamata Jambazi.

Poleni sana kwa Askari walio poteza maosha
Lkn uthibitisho mhimu mkuu, pengine mtu aweza uwawa kwasababu ya fitina au majungu tu,unajua Hilo!!?
 
Ukiona mtu anashangilia kuuawa kwa polisi jua mtu huyo ni jambazi linalnatakiwa kuuawa tena bila kulihoji wala ushahidi wa ujambazi wake ni kulitwanga risasi tu ukiona linashangilia kifo cha kuuawa polisi
Bado zamu yako poti
 
Back
Top Bottom