Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
NakaziaUandishi wako unaonesha kabisa we polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaUandishi wako unaonesha kabisa we polisi.
InapendezaTena wawili
ngoja tuone askari msuka extra timeFull time
Mwenyezi Mungu ampokee mkulima malenda mawinguni hao wengine watajua wenyeweTena wawili
Ha ha ha wewe jamaa!ngoja tuone askari msuka extra time
Sasa huoni tunapata hasara.? Washughulikiwe kwa akili sio kama vita. Watalipa hasara jeshi letuDawa ya majambazi ni kuyauwa tu.
Polisi msicheleweshe mnapo enda kukamata Jambazi.
Poleni sana kwa Askari walio poteza maosha
Unafiki tuu , wanao waua kwa mlengo wa kisiasa wanakosa gani, sina cha kuwapa pole hawa askari rushwa na siasa wanao tunyanyaasa mitaani huku wa tzDawa ya majambazi ni kuyauwa tu.
Polisi msicheleweshe mnapo enda kukamata Jambazi.
Poleni sana kwa Askari walio poteza maosha
Unafiki tuu! Polisi hawa watanzania hawajawahi kuwa wema kwa raia.Mpumzike kwa amani polisi wetu,ni kheri ufie kazini wakati ukitetea usalama wa raia na mali zao kuliko kufia kitandani. Ndugu zangu watanzania kheri wafe askari wawili ila nae amekufa, raia jambazi mwenye silaha ya moto ni hatari kuliko huo uhai wa hao asikari wawili waliojitoa mhanga kuokoa maisha ya watanzania zaidi ya milion65. Hao majambazi ndio wasafirisha dawa za kulevya,watekaji,wanyang'anyi na ni wahujumu uchumi. Nitoe rai kwa serikali, toeni fadhira kwa familia za maaskali waliochagua kufa kuitetea taifa. Mmevitendea haki viapo vyenu asikari wetu RIP.
Ukiona mtu anashangilia kuuawa kwa polisi jua mtu huyo ni jambazi linalnatakiwa kuuawa tena bila kulihoji wala ushahidi wa ujambazi wake ni kulitwanga risasi tu ukiona linashangilia kifo cha kuuawa polisiSababu police ndo wanavyoandikaga? Au umeona nimeguswa?.kimsingi lazima tukubali Police wana mapungufu mengi especial linapokuja swala la utoaji wa haki bila kutoa pesa.Lakini hatuwezi fika point ya kuwashangilia majambazi kisa wameua police.
Acha hizo kifo ni kifo tu kufa kishujaa ndio nini.Jambo muhimu nimeona kila taarifa inasisitiza kwamba walipita kwa uongozi wa kijiji.
Sijui kwanini limesisitizwa sana hili jambo.
R.I.P Askari wetu wamekufa kishujaa wakitekeleza majukum yao ya Kizalendo
Kifo ni kifo tu.Ukiona mtu anashangilia kuuawa kwa polisi jua mtu huyo ni jambazi linalnatakiwa kuuawa tena bila kulihoji wala ushahidi wa ujambazi wake ni kulitwanga risasi tu ukiona linashangilia kifo cha kuuawa polisi
Hao walitaka kupiga dili la sikukuu sasa sikukuu itawakuta eidha mochwari au kaburini.Mpumzike kwa amani polisi wetu,ni kheri ufie kazini wakati ukitetea usalama wa raia na mali zao kuliko kufia kitandani. Ndugu zangu watanzania kheri wafe askari wawili ila nae amekufa, raia jambazi mwenye silaha ya moto ni hatari kuliko huo uhai wa hao asikari wawili waliojitoa mhanga kuokoa maisha ya watanzania zaidi ya milion65. Hao majambazi ndio wasafirisha dawa za kulevya,watekaji,wanyang'anyi na ni wahujumu uchumi. Nitoe rai kwa serikali, toeni fadhira kwa familia za maaskali waliochagua kufa kuitetea taifa. Mmevitendea haki viapo vyenu asikari wetu RIP.
amina kubwaHaijalishi alikuwa mwizi ama laa simtetei lkn kitendo cha hao policcm kwenda kuwa malaika wa ulinzi ni jambo jema kwangu.
wamekutana majambazi waliohalalishwa na jambazi wa kienyeji ila RIP jambazi wa kienyejiNatambua fika majambazi wapo, ila kwa nchi ilipofika ni ngumu sana kuwaamini Polisi kwa lolote lile.
hajafa ameenda peponi na atapewa mabikira wakutoshaNae kafa mkuu!
Lkn uthibitisho mhimu mkuu, pengine mtu aweza uwawa kwasababu ya fitina au majungu tu,unajua Hilo!!?Dawa ya majambazi ni kuyauwa tu.
Polisi msicheleweshe mnapo enda kukamata Jambazi.
Poleni sana kwa Askari walio poteza maosha
Naunga mkono hojaKama poti wamekufa hiyo ni habari njema
Bado zamu yako potiUkiona mtu anashangilia kuuawa kwa polisi jua mtu huyo ni jambazi linalnatakiwa kuuawa tena bila kulihoji wala ushahidi wa ujambazi wake ni kulitwanga risasi tu ukiona linashangilia kifo cha kuuawa polisi