Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Huyo jamaa ninamshangaa sanaSiku hizi mwalimu kukutana na monitor imekuwa breaking news?
Wewe genius ,your rightAmpe dodoso la kuombea pesa WB na IMF haraka maana wameshaomba mkopo jana unatoka haraka kabla mambo hayajaharibika....mama amalize midude ya mwenda zake then aanze legacy yake hasa katiba na tume huru....mitano tena kwa mama
Hata mimi imenishangaza sana.Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR.
Yaani makamu wa Rais kukutana na waziri wake wa fedha imekuwa habari! How?
Kwani huwa hawakutani na kuzungumza?
Hivyo kila wakikutana tutakuwa tunaambiwa na tusipoambiwa maana yake hawatakuwa wamekutana?
Pipa na Mfuniko.....Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR.
Yaani makamu wa Rais kukutana na waziri wake wa fedha imekuwa habari! How?
Kwani huwa hawakutani na kuzungumza?
Hivyo kila wakikutana tutakuwa tunaambiwa na tusipoambiwa maana yake hawatakuwa wamekutana?
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.
Viongozi hao walifanya mazungumzo hayo kufuatia ziara iliyofanywa na Dkt Mwigulu ofisini kwa Dkt Mpango Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Taarifa zaidi itatolewa na mamlaka husika
Mkuu una akili nyingi lakin bavicha wamezichukua zotemafunzo ya namna ya kupika report.
Ampe dodoso la kuombea pesa WB na IMF haraka maana wameshaomba mkopo jana unatoka haraka kabla mambo hayajaharibika....mama amalize midude ya mwenda zake then aanze legacy yake hasa katiba na tume huru....mitano tena kwa mama