Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Hivi ukiwa Rais na Mwenyekiti nani atakutisha kweli ukiamua kwa dhati ? Labda jeshi pekee.....hao wazee na wastaafu mmmm mwendazake aliwanyamazisha woote...Mama anaweza akiamuaKatiba chama chake hakutaki.
2025 ahame chama agombee kupitia chama kingine ndo atakuwa tofauti sana.
Mkwere walimpiga mkwara akaamua kuiacha rasim inaninginia.