Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba

annampa madodoso jinsi ya kupata kodi.

Tusubirie tamko la Mwigulu tuu
 

Acha kuleta habari kama mtoto mdogo, we dogo.
 
Hivi boss kukutana na subordinate wake ni habari? Sio kawaida?

By the way;
hatuna MAKAMO wa Raisi, bali MAKAMU wa raisi,
 
Yani hii forum sasa itaenda kudharaulika yani hii nayo ni issue ya kuweka humu?
 
Ofisi ya serikali tena sehemu nyeti wameweka flati screen mezani kabisa ?inaonyesha hawana kazi za kufanya wanaangaliaga move.
Sory au hapo ni nyunbani kwa mmoja wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo TV ofisini wanaitazama saa ngapi?
 
Hivi mbona ni vitu vya kitoto sana au ndo awamu ya 6 kila taarifa tunapewa?
Wabongo bhana mnatisha, mnamshutumu Mwendazake kuwa aliminya uhuru wa kupashana habari, sasa mnapewa habari za viongozi wenu kukutana napo mnalalamika! Hivi mnataka mfanyiwe nini?
 
Ampe dodoso la kuombea pesa WB na IMF haraka maana wameshaomba mkopo jana unatoka haraka kabla mambo hayajaharibika. Mama amalize midude ya mwenda zake then aanze legacy yake hasa katiba na tume huru. Mitano tena kwa mama.
Katiba chama chake hakutaki.
2025 ahame chama agombee kupitia chama kingine ndo atakuwa tofauti sana.
Mkwere walimpiga mkwara akaamua kuiacha rasim inaninginia.
 
Hiyo tv hapo hua aiwaki na anaangalia nan? Maana kila ziara iwe ya raisi au makamu ipo na ni kama pambo, bora wawape wengine waweke hata geto
 
Wameanza ujinga ujinga, MPANGO nananataka MWIGULU wanataka kujitangaza, hii siyo habari na haitokuwa habari.

Sukuma gang wanataka kufuta habari njema za mama Rais kuzuru kwa majirani.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…