Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

JK alipotaka kuhamishia serikali yake kanda ya kati, wazee wakamuita na kumwambia. Tunawajua wasaidizi wako, ni watu ambao bado damu inachemka, kwa vyeo na posho posho hizi wanazopata, wanakuwa wamechangamka kweli! Wakifanya mambo yao hapa Bongo, ni jiji kubwa, hayataonekana. Ila ukiwapeleka kanda ya kati ka mji (kwa wakati ule) ambako hata mtu akipanda bajaji anakamaliza ndani ya nusu saaa, wataumbuka...
Mzee akasita kuhamishia shughuli kanda ya kati...
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange leo tarehe 29 Aprili 2023 wakati alipofika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kumjulia hali baada ya kupata ajali ya gari.

Dkt. Dugange alipata ajali usiku wa tarehe 26 Aprili 2023 wakati akiendesha gari yake binafsi Jijini Dodoma ambapo kwa sasa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa.
 
Ati gari lake binafsi. Kwa hisani ya TBCCMView attachment 2603871
Mbona hawajaweka na namba za usajili wa hilo gari? Halafu tamko kama hilo si lilitakiwa kutolewa na jeshi la polisi? Mbona wako kimya!!

Na picha zilizowekwa humu jukwaani, za lile V8 lilogeuka juu chini, zimeeditiwa? Siyo la serikali kweli lile!!! Waache kutuchezea akili hawa wahuni.
 
Huna hela..!! Ufukara umekutuliza
 
Huyu waziri angetakiwa avunjike kiuno aisee Sasa kaumia tu mkono. Inabidi Sasa atubu amrudie Mumba wake ki serious maana michaganyo bwana Yesu amekataa huyu umalaya huku ulevi ndio madhara yake
 
Naona hata makamu wa Rais kwenda amejizalilisha kwahyo ana support uvunjifu wa maadili kabisa
 
Hapo anamwambia...acha uzinzi bwana mdogo
 
Huyu waziri angetakiwa avunjike kiuno aisee Sasa kaumia tu mkono. Inabidi Sasa atubu amrudie Mumba wake ki serious maana michaganyo bwana Yesu amekataa huyu umalaya huku ulevi ndio madhara yake
Mungu ni mwema siku zote na huwanyeshea mvua wema na wabaya,ole wako wewe udhaniae umesimama

Mungu hapendezwi na kifo cha mtenda dhambi hata Siku moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…