Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

Chanzo cha ajali please! Dereva wake anaendeleaje? Maana lile gari alilopata nalo ajali, ni mali ya serikali.! Hivyo lina dereva wake maalum wa kumuendesha.
Ukifuatilia haya kwa kina utagundua unelishwa tango pori hakuna waziri ama mkurugenzi anayejiendesha yeye mwenyewe. Na mhe hajapata ajali na gari la serikali jaribuni kusoma taarifa vizuri
 
... na wala sio kosa kisheria kwa mujibu wa sheria za Tanzania kuchepuka na mke wa mtu as long as mmekubaliana. Tena mumewe akiwakuta kuna taratibu za kufuata na sio kuleta fujo au kuumiza watu!
Mkuu,ni hatari sana ukikutwa na mke wa mtu ukiwa unachepuka nae,yule aliyekukuta,akikujeruhi kwa kitu chenye ncha kali au kwa silaha yoyote,maramoja,mfano kakuchoma kisu,hafungwi,badala yake kama ni mtumishi wa umma,atahamisha eneo hilo.
 
Polisi washakanusha! Wanasema Naibu Waziri alikuwa peke yake hakuwa na mwanamke na gari ni yake binafsi siyo ya serikaliπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Naona hata makamu wa Rais kwenda amejizalilisha kwahyo ana support uvunjifu wa maadili kabisa
Mbaya zaidi ni pale atatoka hospital akiwa na hogo (POP) huku akikodisha gari nyengine ya kumpeleka ofisini na kumrudisha nyumbani akienda kusimamia watu ambao pengine ni smart kuliko yeye kwa gharama za kodi za wananchi kwa sababu gari ya kiwaziri V8 inayo-cost approximately Tsh 200Mill aliyopewa alipata nayo ajali akiwa kwenye shughuli zake binafsi.

Wala tusiseme uzinzi hiyo tu kuangusha gari ya serikali muda usiokuwa wa kazi alitakiwa mwenyewe akitoka hapo aende nyumbani kichwani mawazo ya uwaziri akiwa hana ila mfumo wetu wa hovyo unatusababishia hasara ya kuongozwa na wapumbavu kama hawa.

NB;pamoja na mapungufu anayosemwa Magufuli kuwa nayo but inapofika hatua kuona mambo kama haya yakitokea huwa namkumbuka sana.
 
Huyu MTU hii ajali alipata wapi?
Alitokea wapi?
Alikua na Nani kwenye gari?
Polisi walipopima ajali makosa Ni ya Nani?
Majeruhi wenzake wamelazwa wapi?
Kwanini alikua anaendesha gari bila kuchukua tahadhari?

AWAJIBISHWE TU ILI WATU WAWE NA IMANI NA SERIKALI YAO.
 
Umesema ukweli kabisa.
Huyu MTU anaongoza watu SMART kuliko yeye.
 
Ukisikia CCM tuna viongozi wa Kila aina, hiyo ndiyo maana yake
 
Acheni kumtaja Mungu kwenye uchafu aisee ka huu
Mungu mwenyewe anasema hakuja kwa ajili yenu ninyi wenye haki Bali alikuja kwa ajili ya watenda dhambi,kwahiyo Dada kaa kwa kutulia kabisa,kama wewe ni mwema Mungu hakuhusu

Lk 5:31-32

Yesu akajibu akawaambia, Wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio hawawezi. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu.
 
Ukifuatilia haya kwa kina utagundua unelishwa tango pori hakuna waziri ama mkurugenzi anayejiendesha yeye mwenyewe. Na mhe hajapata ajali na gari la serikali jaribuni kusoma taarifa vizuri
Acha uongo, taarifa ililetwa hapa pamoja na picha ya gari. Bila jamii forum hii taarifa ingezimwa.
 
Umesema ukweli kabisa.
Huyu MTU anaongoza watu SMART kuliko yeye.
Wala sio huyu waziri mdogo tu, kwa ujumla viongozi wengi wanaotuongoza ngazi zote ni akili ndogo...sema maneno miingi na ni kwakuwa wamewezeshwa na katiba mbovu.
 
Mkuu,ni hatari sana ukikutwa na mke wa mtu ukiwa unachepuka nae,yule aliyekukuta,akikujeruhi kwa kitu chenye ncha kali au kwa silaha yoyote,maramoja,mfano kakuchoma kisu,hafungwi,badala yake kama ni mtumishi wa umma,atahamisha eneo hilo.
Hutakiwi kuua, kujeruhi, kulawiti, nk mgoni wako Chief! Ni kinyume cha sheria. Unachotakiwa kufanya ni kushtaki ili sheria stahiki ichukue mkondo wake.
 
Acha uongo, taarifa ililetwa hapa pamoja na picha ya gari. Bila jamii forum hii taarifa ingezimwa.
Nitofautishie hapo ipi ni ya serikali na ipi ni yake binafsi
 

Attachments

  • IMG_8276.jpeg
    112.9 KB · Views: 4
Tumechezewa Sana Tanzania Ndiyo Tumeseje Waelewa Hawa Watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…