JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
At least wame-express their feelingsMgomo wao hauna impact yoyote
Una miaka 13 jf na hiki ndio unaongea😳😳😳Mgomo wao hauna impact yoyote
Wapi ilipofeli mkuu..Sensa ya mwaka huu imefeli vibaya. Ni sensa ya hovyo kuwahi kutokea na ukiangalia saikolojia mama wa sensa amepaniki kawa mkali hovyo. Serikali iitishe sensa upya na dodoso lifupishwe ifanyike kwa siku 1 tu kwa mafanikio
Hahaahaha ilibidi kwanza umkague kabla ya kumjibu! Saafi kabisaUna miaka 13 jf na hiki ndio unaongea😳😳😳
Au ndo zimeenda kwenye hzo basi 60 za madilu wanazosema wadauBilioni zote hizo zilizotengwa wanashindwa kuwalipa? Inasilitisha sana.
Umejiunga Jf 2009 lakini umecomment kama mtoto aliitoka Fb na kujiunga Jf 2022.Mgomo wao hauna impact yoyote
Sawa, lakini huwa tunaangalia zaidi hoja kuliko personal issues za mtoa hoja. Turudi kwenye hoja. Hivi unadhani bila waongozaji, karani hawezi kuzifikia kaya?Una miaka 13 jf na hiki ndio unaongea😳😳😳
Makarani wenyewe ndio wamegomaSawa, lakini huwa tunaangalia zaidi hoja kuliko personal issues za mtoa hoja. Turudi kwenye hoja. Hivi unadhani bila waongozaji, karani hawezi kuzifikia kaya?