Bora liende, Kenya waliona haya wakachagua RutoHivi kwa nini Rais hatoi matamko katika mambo muhimu yanayogusa wananchi moja kwa moja kama hili zoezi la sensa ambalo limekuwa na dosari na malalamiko mengi toka kuanza kwa mchakato ?
Au amewaachia wenyewe watatazame huku wananchi wakipata maumivu na kuridhia kulalamika?
Umeiona na kusikiliza hiyo video lakini? Hakuna karani hapo, ni wale wajumbe wa mashina ya CCM. Kuna karani aliyeajiriwa kulipwa shilingi laki moja tu?Makarani wenyewe ndio wamegoma
Watu hawana aibu kabisa.Au ndo zimeenda kwenye hzo basi 60 za madilu wanazosema wadau
mbaya zaidi nafasi yenyewe umeipata kwa rushwa harafu hata hela yako haijarudi.Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao.
Waongozaji hao wa Makarani wamedai kuwa waliahidiwa kulipwa laki moja kwa awamu mbili lakini hadi kufikia Agosti 28, 2022 hawakuwa wamelipwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa wa Chemba ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Samson Chacha alikutana na waongozaji hao wa makarani hao na kuahidi kuwa watalipwa kama walivyokuwa wamepangiwa.
Source: Azam TV
Tanzania wilaya moja isiyo ya jiji nadra kuwa na watu zaidi ya laki 2Una miaka 13 jf na hiki ndio unaongea😳😳😳
kwa hali hi kupata takwimu sahihi sijuwi.Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao.
Waongozaji hao wa Makarani wamedai kuwa waliahidiwa kulipwa laki moja kwa awamu mbili lakini hadi kufikia Agosti 28, 2022 hawakuwa wamelipwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa wa Chemba ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Samson Chacha alikutana na waongozaji hao wa makarani hao na kuahidi kuwa watalipwa kama walivyokuwa wamepangiwa.
Source: Azam TV
Mgomo wao hauna impact yoyote
Sensa haiwezi kukwama kwa kuwa waongozaji wa makarani hawapo site kuongozaKwa nini?
Nimehesabiwa kwa kupigiwa Simu Jumamosi nikiwa ShambaniTuiombee nchi.
Mharibifu ameshaanza kuotesha mizizi kwenye mioyo ya wanyonge