Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Magomeni ya sasa sio ya mwaka 47.
Uzuri wenyewe leo Mwanza ,Arusha,Dom na Mbeya wemeungana dhidi ya Dar.Hatukatai Dar ndio mji wa mkuu wa kiashara TZ je maisha ya wakazi wao yanaakisi ukubwa wa Jiji?.
Nimekulia Dar ila hata Mikoani kuna fursa na watu wanaishi vizuri kuliko Dar.Tusubiri majibu ya Taarifa ya Sensa kuna vitu tutajifunza tu.
 
Ila mkuu championship kwa nilivyokusoma unawadharau Sana watu wanaoishi nje ya dar, imagine wote tungejirundika huko ingekuwaje
Ila mkuu championship kwa nilivyokusoma unawadharau Sana watu wanaoishi nje ya dar, imagine wote tungejirundika huko ingekuwaje
Mkuu niwie radhi kama umeona nimedharau watu wa mwanza. Hapa tunaongea na kupeana uhalisia tu.
 
Kwenye fursa ni kweli zinapatikana hata mikoani na kuna watu wengi wanaishi maisha mazuri huko kuliko dar.
 
Kwenye fursa ni kweli zinapatikana hata mikoani na kuna watu wengi wanaishi maisha mazuri huko kuliko dar.
Tofauti yetu na nchi jirani sisi ndio tunajiharibia badala ya kujijenga kama Watanzania tunaanza kujitenga, watu wa Dar wanatakiwa kutengeneza link na mikoani ili kutumia fursa zilizopo huku na kufanya market strategies zilipo huku.
Hii nchi ina kila kitu tatizo marketing tu hatuko vizuri.
 
Wewe mwenyewe wa hovyo huna sifa za kuishi Jiji la Mwanza. We kaa huko huko uswekeni Sumbwanga na Njombe
Chuki binafsi 😜😜..Siwezi ishi Mwanza Kwa hovyo hata siku moja..

Sumbawanga ni kutamu Wala hakuna shombo na mauchafu kama huko Mwanza..

Maeneo yangu ya Kujidai ni Sumbawanga,Mbeya na Njombe ila hapo baadae am planning kuweka makazi Dodoma and Arusha pia..
 
Dar huko ni hovyo siwezi ishi huko hata siku moja..

Nimeishi Dar miaka 3 ya Kazi,nimesoma miaka 3 chuo kwa hiyo sijawahi na haitakuja kutokea nikakuoenda Dar huko kumejaa mauchafu kila mahala,slums,watu wengi Yaani kila mahala ni Kero..

Huwa sipendi kuishi Miji yenye msongamano wa watu kiasi hicho ni hatari kwa Usalama, afya na usafi na ustaarabu huwa ni zero..endeleeni kunyooshwa na panyaroad.
 
Huko ndiko kunakufaa wewe siyo anga za rocky city.
 
Kwa mshahara wako wa 810,000 hutoweza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mshahara wako wa 810,000 hutoweza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
πŸ˜†πŸ˜† Salary imepanda sio hiyo tena,afu tunaishi kwa posho ukijumlisha hapo napata 1,200,000 monthly naweza ishi hadi Luanda Angola sembuse huko Mwanza kwenye apartment zenu hizi hapa πŸ‘‡?
 

Attachments

  • IMG-20220509-WA0008.jpg
    44.5 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…