Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Uzuri wenyewe leo Mwanza ,Arusha,Dom na Mbeya wemeungana dhidi ya Dar.Hatukatai Dar ndio mji wa mkuu wa kiashara TZ je maisha ya wakazi wao yanaakisi ukubwa wa Jiji?.Magomeni ya sasa sio ya mwaka 47.
Nimekulia Dar ila hata Mikoani kuna fursa na watu wanaishi vizuri kuliko Dar.Tusubiri majibu ya Taarifa ya Sensa kuna vitu tutajifunza tu.