Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Leta ushahidi kwamba siijui.Huijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahidi kwamba siijui.Huijui
Kama unapajua mwanza.hapa ni wapi [emoji116]Leta ushahidi kwamba siijui.
Mimi sio mkaazi wa huko kujua kila sehemu katika picha. Nimefika mara nyingi na kutembea sana hapo ilemela na nyamagana.Kama unapajua mwanza.hapa ni wapi [emoji116]View attachment 2357749
Kama sio Butimba ni maeneo ya kule iliko SAUT.Kama unapajua mwanza.hapa ni wapi [emoji116]View attachment 2357749
Huwezi kuifahamu nyamagana then usipajue hapo ..in short kama hujafika haya maeneo mwanza bado huijuiMimi sio mkaazi wa huko kujua kila sehemu katika picha. Nimefika mara nyingi na kutembea sana hapo ilemela na nyamagana.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Kama sio Butimba ni maeneo ya kule iliko SAUT.
Mtu Yeyote akienda sehemu nzuri lazima uone sehemu uliyoizoea ni mbaya. Mfano ukikaa Dar ukija mkoani unapaona pabaya na pamechoka. Ukisafiri kwenda Dubai, kisha ukija Dar utaiona Dar ni mbaya. Ukisafiri kwenda Ulaya na Marekani unaona Uarabuni ni pabaya na Dar ni kama jalala.
Maeneo yote hayo nimepita katika kuangalia na kuijua mwanza kama mtalii hivyo siwezi kukariri kila kitu nilichoona.Huwezi kuifahamu nyamagana then usipajue hapo ..in short kama hujafika haya maeneo mwanza bado huijui
Capripoint
Isamilo
Ilemela
Ghana
Buzuruga
Bwiru
Kiseke buswelu.. jitahidi ufike ndo useme unaijua Mwanza
ALIEKWAMBIA KUWA ULAYA NI PAZURI KULIKO DUBAI NI NANI?