Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Leta ushahidi kwamba siijui.
Kama unapajua mwanza.hapa ni wapi [emoji116]
JamiiForums1705739662.jpg
 
Mimi sio mkaazi wa huko kujua kila sehemu katika picha. Nimefika mara nyingi na kutembea sana hapo ilemela na nyamagana.
Huwezi kuifahamu nyamagana then usipajue hapo ..in short kama hujafika haya maeneo mwanza bado huijui
Capripoint
Isamilo
Ilemela
Ghana
Buzuruga
Bwiru
Kiseke buswelu.. jitahidi ufike ndo useme unaijua Mwanza
 
Mtu Yeyote akienda sehemu nzuri lazima uone sehemu uliyoizoea ni mbaya. Mfano ukikaa Dar ukija mkoani unapaona pabaya na pamechoka. Ukisafiri kwenda Dubai, kisha ukija Dar utaiona Dar ni mbaya. Ukisafiri kwenda Ulaya na Marekani unaona Uarabuni ni pabaya na Dar ni kama jalala.

ALIEKWAMBIA KUWA ULAYA NI PAZURI KULIKO DUBAI NI NANI?
 
Huwezi kuifahamu nyamagana then usipajue hapo ..in short kama hujafika haya maeneo mwanza bado huijui
Capripoint
Isamilo
Ilemela
Ghana
Buzuruga
Bwiru
Kiseke buswelu.. jitahidi ufike ndo useme unaijua Mwanza
Maeneo yote hayo nimepita katika kuangalia na kuijua mwanza kama mtalii hivyo siwezi kukariri kila kitu nilichoona.
 
ALIEKWAMBIA KUWA ULAYA NI PAZURI KULIKO DUBAI NI NANI?

Dubai ni pazuri kwasababu kuna majengo mengi marefu na mapya. Sidhani kama kuna sehemu inaizidi dubai kwa modern skyscrapers labda New York pekee.

Lakini ulaya ni pazuri kuliko dubai kwasababu imejengeka systematically kwa miaka mingi. Hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu.
 
Actually, vigezo havikuzingatiwa bali siasa zilichukua hatamu na kigezo cha kuwa jiji ni jiji lipi lilichagua ccm ikawa ndio zawadi🥝
 
Back
Top Bottom