Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Mimi sio mkaazi wa huko kujua kila sehemu katika picha. Nimefika mara nyingi na kutembea sana hapo ilemela na nyamagana.
Huwezi kuifahamu nyamagana then usipajue hapo ..in short kama hujafika haya maeneo mwanza bado huijui
Capripoint
Isamilo
Ilemela
Ghana
Buzuruga
Bwiru
Kiseke buswelu.. jitahidi ufike ndo useme unaijua Mwanza
 
ALIEKWAMBIA KUWA ULAYA NI PAZURI KULIKO DUBAI NI NANI?
 
Huwezi kuifahamu nyamagana then usipajue hapo ..in short kama hujafika haya maeneo mwanza bado huijui
Capripoint
Isamilo
Ilemela
Ghana
Buzuruga
Bwiru
Kiseke buswelu.. jitahidi ufike ndo useme unaijua Mwanza
Maeneo yote hayo nimepita katika kuangalia na kuijua mwanza kama mtalii hivyo siwezi kukariri kila kitu nilichoona.
 
ALIEKWAMBIA KUWA ULAYA NI PAZURI KULIKO DUBAI NI NANI?

Dubai ni pazuri kwasababu kuna majengo mengi marefu na mapya. Sidhani kama kuna sehemu inaizidi dubai kwa modern skyscrapers labda New York pekee.

Lakini ulaya ni pazuri kuliko dubai kwasababu imejengeka systematically kwa miaka mingi. Hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu.
 
Vigezo vya kuwa jiji ni vipi??
 
Actually, vigezo havikuzingatiwa bali siasa zilichukua hatamu na kigezo cha kuwa jiji ni jiji lipi lilichagua ccm ikawa ndio zawadi🥝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…