Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Kwa hizo picha za mwanza na arusha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana nilikuwa nakwambia wewe huijui Mwanza, ukija Tena mtafute mtu anaeujua huu mji vizuri akutembeze utasgangaa

By the way ngoja nikuongeze kidogo na hizi
JamiiForums-1331966220.jpg
JamiiForums-655745380.jpg
Screenshot_20220914-190732.jpg

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana nilikuwa nakwambia wewe huijui Mwanza, ukija Tena mtafute mtu anaeujua huu mji vizuri akutembeze utasgangaa

By the way ngoja nikuongeze kidogo na hiziView attachment 2356994View attachment 2356996View attachment 2356997

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Naona unaokoteza picha hapa na pale kwa msaada wa photo editor.

Nilipoambiwa capripoint ndio kama masaki kwa dar nikasema ngoja niende kupaona.. lahaula nilishangaa sana maana hapana tofauti na msewe kwa hapa dar.
 
Kuna mswahili alienda USA halafu alivyorudi Dar. Akasema anasikia kama Dar ina harufu fulani mbaya anaisikia kila anakopita 🤣🤣🤣
Hii hata ukitokea Vijijini, ukifika Dar lazima uhisi uzito wa hewa.

Wengine lazima washikwe mafua.
 
Naona unaokoteza picha hapa na pale kwa msaada wa photo editor.

Nilipoambiwa capripoint ndio kama masaki kwa dar nikasema ngoja niende kupaona.. lahaula nilishangaa sana maana hapana tofauti na msewe kwa hapa dar.
Kwamba ulitegemea kukuta Nini na wewe ukakuta Nini?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Naona unaokoteza picha hapa na pale kwa msaada wa photo editor.

Nilipoambiwa capripoint ndio kama masaki kwa dar nikasema ngoja niende kupaona.. lahaula nilishangaa sana maana hapana tofauti na msewe kwa hapa dar.
Wew umefika capripoint sehemu Gani wew.. Zaid ya kusimuliwa tu ..na mwanza yenyewe unaiona kwenye mechi za mipira kupitia tv
 
Nilidhani nitaona sehemu classic kumbe maeneo ya kawaida sana.
[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]sema wew unafurahisha ,I like the sense of humor kwenye argument zako kiufupi una hoja zisizo na mashiko na nyepesi sna.
 
Ila mkuu championship kwa nilivyokusoma unawadharau Sana watu wanaoishi nje ya dar, imagine wote tungejirundika huko ingekuwaje
 
Kwamba unadhani ni uongo?? Nilikuwa napita pale polisi nakatiza hivi pamejaa mama ntilie kibao. Kwa nyuma ndio TPA pale pia ile meli ya bukoba inapakia.
Assumption.. ukiwa hapo capripoint Iko maeneo gani
 
[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]sema wew unafurahisha ,I like the sense of humor kwenye argument zako kiufupi una hoja zisizo na mashiko na nyepesi sna.
Nilikuwa naenda maeneo ya nyakato kule coca-cola ipo basi njiani naona mifugo imesambaa sana na kunanuka.
 
Back
Top Bottom