Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu.
Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza kutekelezwa mwaka huu. Wanajisahau sana, kazi kusifia tu
===
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mhe. Fatma Tofic amemshauri Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kuachana na kampeni ambazo zinavuruga amani kwenye Nchi akigusia kampeni ya No Reform No Election kampeni ambayo imeibua mjadala mzito mitandaoni.