wametoka kusimika huo mfumo mwaka jana kwa bilioni 16Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umevuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa.
Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma.
Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli
Watalaam wa ndani tuliobobea wanatupiga chini ili wakalipe mahela mengi huko wa Asia na Wazungu nomaaa sanaaLeo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umevuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa.
Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma.
Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli
Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa.
Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma.
Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli
Umezungumza jambo la msingi na lenye uzito mkubwa.Kiufupi, ni kwamba ukiwa na mradi (Turnkey Project), hakikisha anayekuletea vifaa ndiye pia anakufanyia matengenezo madogo-madogo (Maintenance and Upgrades). Kitendo cha mfumo mzima kuwekwa na Uchina, halafu kuhuisha wameleta Mzungu ni jambo la kushangaza kidogo. Ukizingatia utaratibu wa manunuzi, kadiri mnavyoendelea kumtumia mzabuni huyohuyo mmoja kwa muda mrefu ndiyo bei huwa inapungua.
Sasa hapa ina maana serikali ilitangaza zabuni nyingine na kumpiga chini mchina, halafu watu wakavuta mafungu ya kumi kama ilivyo kawaida. Sasa huenda ikawa ni mifumo kweli mipya imeletwa au kuna hujuma zinafanyika. Jambo kama hili liliwahi kutoka kule kwenye jengo la African Union, Addis Ababa mwaka 2018 baada ya shirika la kijasusi la Algeria kusanua kwamba vifaa vingi vilivyoweka na Uchina ambaye ndiye mjenzi wa jengo, vilikuwa vinafanya Ujasusi. Hivyo siku wakiamua kuwahujumu linakuwa jambo rahisi sana tu.
Hawa wenzetu wa mataifa makubwa wakiamua kutufanyia sisi hujuma ni suala la dakika chache tu. Mfano mzuri ni kwamba siku hizi huduma za Afya kama vipimo vya X-Ray na Radiotherapy hutolewa kwa vifaa vya kisasa ambavyo hutegemea mifumo (Operating System/Software) kutoka makampuni makubwa kama Varian/Siemens, ambapo wao wakiwa kwao Ulaya, huwa wanakuwa na uwezo wa kuendelea kuendesha (Constant Monitoring) mifumo yetu ya matibabu pale Mloganzila, Muhimbili, Mkapa na Ocean Road, ambapo wakiamua tu wanaweza kubofya kitu na huduma za Afya zikasimama nchi nzima.
Sasa hata kwenye mifumo ya kisasa inayotumiwa na serikali ya Tanzania huwa iko hivi. Wewe cheza na beberu halafu utatia akili. Ndiyo maana mbali na yoote ya Mzee Nyerere, aliposema TUJITEGEMEE alikuwa kaona mbali mno. Tanzania yetu ya miaka ya 80's ingeamua kukaza buti na kuacha kupelekea Maraisi wa USWAHILINI pale Magogoni, leo hii tungekuwa na uwezo wa kutengeneza na kuendesha mifumo yetu wenyewe.
Watalaam wa ndani tuliobobea wanatupiga chini ili wakalipe mahela mengi huko wa Asia na Wazungu nomaaa sanaa
Unachosema ni kweli mkuu MALCOM LUMUMBA . Kila jambo huanza na hatua na commitment, ila sie hata hizo hatua za awali tuna zikataa.Tatizo ni kwamba mifumo mingi siku hizi ni ya Kidijitali ambayo hata wataalamu wa ndani hawawezi kufanya kwa asilimia 100% bila kumshirikisha Manufacturer. Kuna vifaa vishapitwa na wakati na inatakiwa vipatikane vipya kutoka nje. Sisi tunaweza kufanya Maintenance ndogo-ndogo tu, lakini Comprehensive Maintenance zinafanywa na Manufacturer au Licensed Agent.
Sisi hatuna Technological Sovereignty, hivyo tuendelee tu kupiga siasa za CHADEMA vs CCM.
Mwaka 2007 jambo kama hili liliwakuta Estonia baada ya kupata shambulio kubwa la mtandao, Distributed Denial of Service Attack (DDoS) lililodumu kwa siku 22 mfululizo, ambapo mifumo ya Bunge, Mahakama na Benki ilikuwa haifanyi kazi. Chanzo kikubwa ilikuwa ni kuondoa sanamu ya askari wa Kirusi aliyepigana vita ya pili ya dunia. Sasa unaweza kulinganisha na kinachoendelea hapa TZ....
Umezungumza jambo la msingi na lenye uzito mkubwa.
Nimekumbuka kama mwezi umepita nilibahatika kukutana na watu kadhaa wenye nafasi kwenye vyombo vyetu. Nikawaambia kuna vitu inabidi tufanya development ya ndani kuliko kila kitu kununua nje, na kuna mfumo nikawapa kama demo imefanyika humu humu ndani, ila wakaikataa kwa point wataishije kama hawatonunua nje ( huwa wapata fursa za kwenda huko pia ), nikawailiza kiusalama inakuwaje ? maana na hata jirani wanatumia tech ile ile kiaisi kwamba kwenye hujuma za mtandao no rahisi kutuchapaa, nikaishia waachia makabrasha hadi leo kimya
Kaka hayo matukio ni mengi ila hayasemwi. Ni uzembe uzembe. Kuna ofic moja ina watu wa suti nyeusi , ila camera za wneo hilo hazifanyi kazi kabisa. Just imagineKila mahali ni upigaji tu, kila mahali ni malalamiko.
Kuna miaka flani niliwahi kushangaa eti chombo flani cha usalama kimeibiwa kwenye idara ya usalama na vijana walikua lindo na mitutu na cameras....niliishia tu kusema kweli bongo nyoso..🤣
Ukifuatilia tenda, utasikia mabilioni ya shilingi yameteketea hapo! Bongo hii jau sana..
😂Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa.
Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma.
Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli
MWAFRIKA NI MASIKINI WA AKILI ( ukweli mchungu ).Hivi ninavyokwambia hapa ni kwamba ukoloni unarudi kwa kasi mno barani Afrika na nyenzo yake kuu itakuwa ni teknolojia ya kidijitali (Digital Technology). Huwezi kufanya ufundi (Build a Technological Eco-System) wako asilimia 100% bila kutegemea walau kifaa au mfumo wa nje. Hivi ndiyo dunia inaendeshwa kipindi hiki.
Sasa nikupe mfano mzuri tu, zile ndege za Marekani F-35 zinategemea Soft-Ware Updates kutoka Marekani. Hata uwe umeinunua inakaa pale ngerengere ni lazima ufanya Soft-Ware Update kutoka Lock-Heed Martin na uruhusiwe na The Pentagon. Soft-Ware System ambayo wanatumia US Airforce ni tofauti kabisa na Soft-Ware System wanayotumia mataifa mengine ya NATO. Katika hili ndege za Marekani zinakuwa na uwezo kuliko ndege za wengine japo zote zina sifa moja.
Baada ya vita vya Iran na Israel kukutwa, Marekani ndiyo mwezi uliopita karuhusu Israel kuwa taifa pekee ambalo ndege zake za F-35 zitafanyiwa Soft-Ware Upgrade na Lock-Heed Martin ili kuwa walau na uwezo sawa na US Airforce. Katika hili Marekani akiamua kuzima ndege zote za NATO anaweza kufanya hivyo kwa kuwanyima Soft-Ware Upgrade, DDoS Attack au Malware.
Hili halipo kwenye ndege tu, lipo hadi kwenye End-To-End Encrypted Devices zinazotumiwa na TISS ambazo huwa wanazinunua Switzerland. Lakini pia hadi kwenye mifumo ya Rada pale Airport, Bandarini na jeshini. Haiishii tu hapo, hadi kwenye mifumo ya makombora ambayo tunanunua leo hii, tunaanza kutegemea Eco-System ya mataifa ya nje ili iweze kufanya kazi kwa usahihi.
Ndiyo maana nasema hivi, tusipoacha kuendekeza siasa na kuamua kusomesha wataalamu wetu, sisi tunarudi kwenye ukoloni ndani ya mwezi tu. Wakizima mifumo ya rada, mifumo ya hospitali, mifumo ya tanesco na kuzitoa simu zote za TZ kwenye PlayStore ndiyo kazi kwisha.
MWAFRIKA NI MASIKINI WA AKILI
MWAFRIKA NI MASIKINI WA AKILI ( ukweli mchungu ).
Mabadiriko yanaweza yasiwe makubwa ila kuna sehemu tunaweza anza nazo kwa kufanya Reverse Engineering iwe hardware au software, na kufanya modification ( hii inawezekana kabisa inategemea tu leseni ya aliekuuzia inasemaje ).
Kama nchi kwakuwa hatuna uwezo wa moja kwa moja kutengeza hizi vitu from zero ni nzuri kuwekeza nguvu kwenye ubobezi wa Reverse Engineer tufanye kuwa strength yetu hapo ( kitu ambacho naamini kina wezekana ) japo hakitokuwa na 100%, maana ikija kwenye programing language tunazotumia ni zao na libraly wame develop wao ndani ya hizo libraly wana loop hole zao ( huwa nikiwaza sana hapa huwa nachoka kuwakwepa jamaa ngumu sana ) ila tunaweza jaribu kwa hatua moja.
Kwenye upande wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ndio inasikitisha sana kwa habari ya upande wa tech. Japo kuna mmoja nilikuta ana akili siku moja akaniambia ameishapendekeza kwa wakuu wake waanze fanya mambo mengine ndani japo walichekana ma wakuu zake kama jambo gumu. ( TATIZO LETU LINGINE TUNASHINDWA KUCHUKUA HATUA HAYA NDOGO ) tumeamua kuwa wafungwa daima.
Kiufupi, ni kwamba ukiwa na mradi (Turnkey Project), hakikisha anayekuletea vifaa ndiye pia anakufanyia matengenezo madogo-madogo (Maintenance and Upgrades). Kitendo cha mfumo mzima kuwekwa na Uchina, halafu kuhuisha wameleta Mzungu ni jambo la kushangaza kidogo. Ukizingatia utaratibu wa manunuzi, kadiri mnavyoendelea kumtumia mzabuni huyohuyo mmoja kwa muda mrefu ndiyo bei huwa inapungua.
Sasa hapa ina maana serikali ilitangaza zabuni nyingine na kumpiga chini mchina, halafu watu wakavuta mafungu ya kumi kama ilivyo kawaida. Sasa huenda ikawa ni mifumo kweli mipya imeletwa au kuna hujuma zinafanyika. Jambo kama hili liliwahi kutoka kule kwenye jengo la African Union, Addis Ababa mwaka 2018 baada ya shirika la kijasusi la Algeria kusanua kwamba vifaa vingi vilivyoweka na Uchina ambaye ndiye mjenzi wa jengo, vilikuwa vinafanya Ujasusi. Hivyo siku wakiamua kuwahujumu linakuwa jambo rahisi sana tu.
Hawa wenzetu wa mataifa makubwa wakiamua kutufanyia sisi hujuma ni suala la dakika chache tu. Mfano mzuri ni kwamba siku hizi huduma za Afya kama vipimo vya X-Ray na Radiotherapy hutolewa kwa vifaa vya kisasa ambavyo hutegemea mifumo (Operating System/Software) kutoka makampuni makubwa kama Varian/Siemens, ambapo wao wakiwa kwao Ulaya, huwa wanakuwa na uwezo wa kuendelea kuendesha (Constant Monitoring) mifumo yetu ya matibabu pale Mloganzila, Muhimbili, Mkapa na Ocean Road, ambapo wakiamua tu wanaweza kubofya kitu na huduma za Afya zikasimama nchi nzima.
Sasa hata kwenye mifumo ya kisasa inayotumiwa na serikali ya Tanzania huwa iko hivi. Wewe cheza na beberu halafu utatia akili. Ndiyo maana mbali na yoote ya Mzee Nyerere, aliposema TUJITEGEMEE alikuwa kaona mbali mno. Tanzania yetu ya miaka ya 80's ingeamua kukaza buti na kuacha kupelekea Maraisi wa USWAHILINI pale Magogoni, leo hii tungekuwa na uwezo wa kutengeneza na kuendesha mifumo yetu wenyewe.
Naona umewakinai kabisa hawa watu.Hayo mawazo ya Reverse Engineering yatafanywa na MIZEE YA COLD-WAR iliyobungua na kuchoka akili kama George Mkuchika, Rajab Luhavi, Joseph Butiku, Steven Wassira au wapigaji kama kina Mombo, Nchimbi na Nkunda wanaowaza kuwa na Motorcade za Ulaya na Marekani na kujenga masinagogi Mbweni ???
WEWE endelea kuishi maisha yako mkuu, fanya unaloweza kuhudumia familia yako. Ukifikiria sana kuhusu Tanganyika na Watanganyika, utakufa mapema kabla ya umri wako.
Waoneshe wao watakulajeUmezungumza jambo la msingi na lenye uzito mkubwa.