AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Wao ndio waseme wanataka kulaje , si wameshika mpini 😁Waoneshe wao watakulaje
Wao ndio waseme wanataka kulaje , si wameshika mpini 😁Waoneshe wao watakulaje
Jiongeze Mkuu, usione wazungu, Wahindi,waarabu Wana win hizo deal,huwa wanawawekea na ugali humo humoWao ndio waseme wanataka kulaje , si wameshika mpini 😁
Yes,Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa.
Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma.
Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli