AYnay JF-Expert Member Joined May 7, 2026 Posts 1,704 Reaction score 4,504 May 14, 2026 #21 Tresor Mandala said: Waoneshe wao watakulaje Click to expand... Wao ndio waseme wanataka kulaje , si wameshika mpini π
Tresor Mandala said: Waoneshe wao watakulaje Click to expand... Wao ndio waseme wanataka kulaje , si wameshika mpini π
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,397 Reaction score 101,204 May 14, 2026 #22 AYnay said: Wao ndio waseme wanataka kulaje , si wameshika mpini π Click to expand... Jiongeze Mkuu, usione wazungu, Wahindi,waarabu Wana win hizo deal,huwa wanawawekea na ugali humo humo
AYnay said: Wao ndio waseme wanataka kulaje , si wameshika mpini π Click to expand... Jiongeze Mkuu, usione wazungu, Wahindi,waarabu Wana win hizo deal,huwa wanawawekea na ugali humo humo
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 May 14, 2026 #23 Ex Spy said: Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa. Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma. Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli Click to expand... Yes, ni muhimu sana kufahamu kwamba hizo ni changamoto za kawaida katika nyakati hizi za sayansi na teknilojia na matumizi ya vifaa vya kielectronic π
Ex Spy said: Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa. Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma. Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli Click to expand... Yes, ni muhimu sana kufahamu kwamba hizo ni changamoto za kawaida katika nyakati hizi za sayansi na teknilojia na matumizi ya vifaa vya kielectronic π