Hichi ndicho nilikua nakifahamHabari za upande wa pili hasa wanaoshinda nje ya hizo ofisi, ni kuwa aliingia na mwana mama, na ndiye aliyetoka peke yake, sasa changanya na safari ya Basi au kamtoa mitaani
Lakini hakukatwa wala kuibiwa simu wala hela zimekutwa
hakufungwa na abdala kichwa wazi hajakatwa ila kavishwa condo, joho pembeni, ila fulana kaivusha kisogoni
wanahisi alitumia vumbi la Congo na sildenafil dose ndio ilimzimisha
tuwaachie wenyewe R.I.P.
cc stella1975
Halafu Cha kushangaza watu wamesikitishwa mno na kitendo Cha kumkata uume kuliko kitendo Cha kumuua
JF imegeuka kuwa kichaka cha upotofu na uchochezi.
Inapendeza sana na ndio ustaarabu na utawala bora uhakika wa matukio kupatikana kutoaka vyombo vya usalama wa nchi.Na watu wanapaswa kutumaini kupata habari sahihi kutoka huko.Lakini kwa Tanzania katika baadhi ya matukio huonekana taarifa zao ni za kubabaisha.Nakumbuka katika tukio la kupigwa risasi sheikh Ponda kule Morogoro afande mmoja alisema hakupigwa risasi yule sheikh bali aliumizwa na tembo.Hakuna hata wakubwa wake waliomsutaKamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema chanzo cha kifo cha Sheikh Rashid Bura ambaye ni Mmiliki wa Shule za Zamzam, ni moyo kufeli akiwa Ofisini kwake baada ya kukosa msaada “wengine wanasema alikatwa sehemu za siri, fanyeni uchunguzi"
Daa aliumizwa na tembo mjini [emoji23] nacheka kama mazuriInapendeza sana na ndio ustaarabu na utawala bora uhakika wa matukio kupatikana kutoaka vyombo vya usalama wa nchi.Na watu wanapaswa kutumaini kupata habari sahihi kutoka huko.Lakini kwa Tanzania katika baadhi ya matukio huonekana taarifa zao ni za kubabaisha.Nakumbuka katika tukio la kupigwa risasi sheikh Ponda kule Morogoro afande mmoja alisema hakupigwa risasi yule sheikh bali aliumizwa na tembo.Hakuna hata wakubwa wake waliomsuta
Na hapa napo mbona kufeli kwa moyo kumetajwa moja kwa moja na haraka bila uchunguzi wa daktari na ndugu wa marehemu kuridhika nao.
Ninaongelea JF hapa. Tunaelewana?Gazeti la serikali pia liliripoti ameuawa (slain), na hao HabariLeo DailyNews ofisi zao Dodoma makao makuu ya nchi ya Tanzania wana ofisi jirani na ofisi aliyokutwa marehemu. Inashangaza sana ikiwa gazeti la serikali pia inaweza kuripoti habari potovu soma hapa chini :
https://www.habarileo.co.tz › habari
27/12/2019 - Habarileo
Slain Bura due for burial in Dodoma. DAILY NEWS Reporter in Dodoma. 27/12/2019. 0 Maoni. THE body of Rashid Bura, founder of Dalai Islamic Centre and ..
Aisee nimeon ni gazet la serikal hiliGazeti la serikali pia liliripoti ameuawa (slain), na hao HabariLeo DailyNews ofisi zao Dodoma makao makuu ya nchi ya Tanzania wana ofisi jirani na ofisi aliyokutwa marehemu. Inashangaza sana ikiwa gazeti la serikali pia inaweza kuripoti habari potovu soma hapa chini :
https://www.habarileo.co.tz › habari
27/12/2019 - Habarileo
Slain Bura due for burial in Dodoma. DAILY NEWS Reporter in Dodoma. 27/12/2019. 0 Maoni. THE body of Rashid Bura, founder of Dalai Islamic Centre and ..
Watu hbri wanazipata msibani tu27.12.2019
Dodoma, Tanzania
Kamanda Muroto : Kifo Cha Mkurugenzi wa Shule ya Zamzam, Dodoma
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Muroto atoa taarifa rasmi juu ya tukio la mauaji la mmiliki wa shule ya Zamzam. Uchunguzi wa awali ni kuwa marehemu amefariki kwa moyo kushindwa kufanya kazi yaani heart failure na kwa vile alikuwa pekee yake ofisini alishindwa kupata msaada kuokoa maisha yake
Pia marehemu simu yake ilikuwa imezima kwa kuishiwa charge maana mara baada ya kuwasili kwa usafiri wa basi akitokea Dar es Salaam, alikwenda pamoja na mabegi yake moja kwa moja hadi ofisini kwake mjini Dodoma na ndipo mauti yalimfika. Marehemu alikuwa na umri wa miaka 62, mrangi jina Rashid Bura.
Kamanda Muroto ametoa angalizo kwa vyombo vya habari kuwa makini wanapotoa taarifa bila kuulizia vyombo rasmi kama Polisi au ripoti za Daktari. Akatoa mfano mmoja wa habari alizoona JamiiForums , Magazeti ya HabariLeo, NIPASHE, Mwananchi n.k kuhusu jinsi mauti yalivyomkuta marehemu Rashid Bura, ambazo siyo sahihi.
Source: Millard Ayo
Vyombo vya Habari vilivyoripoti kifo cha mkurugenzi:
https://www.habarileo.co.tz › habari
27/12/2019 - Habarileo
Slain Bura due for burial in Dodoma. DAILY NEWS Reporter in Dodoma. 27/12/2019. 0 Maoni. THE body of Rashid Bura, founder of Dalai Islamic Centre and ..
"Mwili bosi wa Zam Zam kuzikwa Dodoma, utata wagubika kifo chake - Mwananchi" Mwili bosi wa Zam Zam kuzikwa Dodoma, utata wagubika kifo chake
"Former State House guard who died in office to be buried - The Citizen" Former State House guard who died in office to be buried
POLISI wameshafika mwisho, ndio Conlusion, km Familia ina yao sasa ndio wamuachie Mungu, ni sawa tu na yule Jamaa wa Iramba aliyelamba risasi 32, na 16 pajani, ilishasemwa hawajulikani fullstop, ya Azory, ya MO nkBasi hapo kazi kwa Polisi wapate DNA ya liquid kwenye condom upande wa nje watajua Dada mhusika ni nani
Kufariki kwa ugonjwa wa moyo Ila hata hivyo bado kuna utata. Huyo mtoto wa marehemu anasema ni yeye aliingia ndani na kumkuta akiwa bila nguo na majeraha. Siyo rahisi asme uongo na sioni sababu itakayomfanya aseme uongo. Kuna jambo lilitokea lakini polisi ya pongo siku zote ni kuchukulia mambo kirahisi.
Mkuu usiilaum JF kwani hakuna mtu anashurutishwa kusoma habari hizi huru na kweliAskari Kanzu said:
JF imegeuka kuwa kichaka cha upotofu na uchochezi.
Ninaongelea JF hapa. Tunaelewana?
Yes ndugu waliingia na mtoto wake alimpigia jirani na rafiki DSM kuelezea mauaji ya baba yake alivyoyakuta. Nina amini watakuwa na picha pia. Mbona hii taarifa ya vyombo vyetu ni tofauti?POLISI wameshafika mwisho, ndio Conlusion, km Familia ina yao sasa ndio wamuachie Mungu, ni sawa tu na yule Jamaa wa Iramba aliyelamba risasi 32, na 16 pajani, ilishasemwa hawajulikani fullstop, ya Azory, ya MO nk
Mm bado nashangaa member wa JF wanaolaum, kuna mtu kalazimishwa kuamini fikra za familia, Udaku au ukweli utazidi kusambaa wawe wapole,
Polisi: Mmiliki wa shule ZamZam amefariki kwa matatizo ya moyo, hakuna viashiria vya mauaji. Familia yatofautiana na Polisi
Amejuaje kama alikufa kwa Ugonjwa wa moyo? Ni ripoti ya Daktari ndo inasema hivyo Je! Hiyo ripoti Familia imepewa na Familia inasemaje mzee alikua na Matatizo ya Moyo? Kufariki kwa ugonjwa wa moyo siyo lazima mtu awe na ugonjwa uliokuwa unajulikana. Kuna wakati inaweza kutokea tu ghafla. Ila...www.jamiiforums.com
Hapo ndio maana ya Vyombo vyetu, unadhani watakuwa na la ziada tena? yameisha ingawa ukweli wanao hawataweza kuuendeleza kwanza ni kumsumbua Marehemu, kwani alipatwa na ugonjwa wa moyo ghaflaYes ndugu waliingia na mtoto wake alimpigia jirani na rafiki DSM kuelezea mauaji ya baba yake alivyoyakuta. Nina amini watakuwa na picha pia. Mbona hii taarifa ya vyombo vyetu ni tofauti?