Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Hilo hata mm nalifikiria, maana pale nje kuna wauza Magazeti na wachonga Mihuri huwezi ingia Ofisini kwake bila ya wao kukuona au kukupisha njia, hivyo aliingia Ofisini kwake kwa amani na huenda walimkuta humo humo, pia kuna ofisi nyingine ambazo wanaweza kuwasikia labda isiwe siku ya kazi.Huyo Kama alifika dar, akamaliza kikao akarudi dom akawataarifu kuwa amefika, basi waliomuua yumo mtu ambae wanafahamiana Kwa ukaribu aidha alitumiwa kuuwawa Kwa kushirikisha mwanamke akamvuta had ofisini au aliongea na mtu wanaefahamiana Kwa karibu Sana wakakubaliana kukutana ofisini kabla hajaenda kwake, alipofika ofisin akamsubiri ndipo hao wabaya wakamwiingilia ofisini gafla huyo ameuwawa aidha Kwa mipango ya mtu anaemjua ameshiriki kumuuua au kumshirikisha mtu ambae wanaukaribu nae na atakuwa waliweka appointment ya kukutana ofisini wakamvizia ameingia wakamnyoshea mtutu atulie ndio wakamuuwa
HUWAZI KIJINGA nalo ni suspicious (that something might be true. . )MTOA MADA,
ukipata namna hiyo Shule ilivyoanzishwa na hiyo Taasisi ninaamini tutapata habari kamili, maana kwa kusema mkurugenzi wa kwanza naye alienda kwa utata inawezekana ni Visasi vipo hapo, yaani shule inaanzishwa na kikundi cha watu wenye share, kisha inaandkishwa kama taasisi ya Kidini, halaf wanasalitiana wanaanza kupelekana mmoja mmoja (NAWAZA TU KIJINGA)
Huyo mke wa Jirani yako alikueleza kwamba uume wa baba mkwe ulikuwa na majeraha?Aliyeuawa ni baba wa jirani yangu inasemekana alikuwa dar kwenye kikao ambacho alitumwa kumuwakilisha sheikh wa mkoa wa Dodoma, baadaye mawasiliano na familia yake yakapotea ndo mchakato wa kumsaka ukaanza kwa kumshirikisha RPC wa Dodoma ambaye naskia wanafahamiana. Jana jioni jirani yangu huyu akaja kuniaga kwamba anaenda Dodoma kusaidia kumtafuta baba yake kwani mama yake kampigia simu huku analia wakashindwa kuelewana.
Baada ya kama dakika 40 hivi mke wake jirani yangu akaja kwangu kunipa taarifa za msiba kwamba baba mkwe wake amekutwa amekufa ofisini na kesho anajiaandaa kwenda na yeye msibani Dodoma. Yeye alipewa taarifa za msiba na mmewe ambaye alikuwa njiani kuelekea Dodoma.
Namie ndo napata kwa undani taarifa hapa Jf kwamba mzee yule ameuawa. Allah ampe kauli thabiti mzee wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kesi kwa FBI ni rahisi Sana ila kwa polisccm sijui
Tujikite kutafsiri maana ya KUUKATA UUME. Inawezekana wakati anakuja Dar kumwakilisha Shekh wa Dodoma aliondoka na mke wa mtu. Inawezekana wamekaa huku wakiinjoy na baada ya kurudi Dodoma akaamua wamalizie mambo yao ofisini.Huyo Kama alifika dar, akamaliza kikao akarudi dom akawataarifu kuwa amefika, basi waliomuua yumo mtu ambae wanafahamiana Kwa ukaribu aidha alitumiwa kuuwawa Kwa kushirikisha mwanamke akamvuta had ofisini au aliongea na mtu wanaefahamiana Kwa karibu Sana wakakubaliana kukutana ofisini kabla hajaenda kwake, alipofika ofisin akamsubiri ndipo hao wabaya wakamwiingilia ofisini gafla huyo ameuwawa aidha Kwa mipango ya mtu anaemjua ameshiriki kumuuua au kumshirikisha mtu ambae wanaukaribu nae na atakuwa waliweka appointment ya kukutana ofisini wakamvizia ameingia wakamnyoshea mtutu atulie ndio wakamuuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asasi yake inaitwa Dalai Islamic CentreAnaweza akajitumbua chini ya usimamizi wenye mbinyo, kisha wabaya / washikaji wake chini ya kiapo cha yamini wakamfunga kamba. Katika kutatua sababu za uhalifu hakuna dhana ya kipimbi.
Tujiulize jina Dalai lilikujaje wakati ukisoma comments zote jina lake ni Bura.
www.chicagotribune.com
Suicide a common killer of cops, but Fox Lake scandal no ordinary case
8 Nov 2015 · Experts say officers may be more at risk of suicide than the average ... typical when he staged his own death to look like a homicide
this is the reson5 days. Wafanyakazi wake wote walikua likizo hata mesenger?
5 days hata mwanafamilia mmoja hajamjulia khali?
5 days hana mke wala mtoto.
Kama aliaga aliwaambia nitazima simu?
Huyu itakua ilikua kawaida yake kutokua na mawasiliano mazuri na familia,ndugu hata wafanyakazi?
Siku hizi huwezi kukaa masaa 5 bila wife au ndugu wa karibu kujiridhisha ulipo.
Huo uume lazima ndio ulimponza sheikh. Tafuteni mahawara wake .
Ohoooooo baaasi. Kifo kile ni lazima kiliambatana na hojaji mzito sana. Nilijiuliza sana muuaji wa kawaida akupandishe ofisini akufunge? Akuchome na kisu akukate uueme bila kusahau kuvua kazi. Huwa hawana muda huo wao ni kufanya walichotumwa ili wakapokee ujira. Wenye muda wa kutosha mpaka wapate wanachokitaka ni wale wengine. Ila wakuu mtu ujue kuwa kama umepewa dhamana nzito iheshimu na fuata taratibu. Pole former CID. Tuanzie hapo kujiuliza kama alikuwa na majukumu mengine mazito nje ya CID. Closed.
Mkuu... watu wanaua na kufanya mauaji yaonekane vingine kabisa...sio kila muuaji anataka utafsiri unavyotaka...Kwa mauaji ya namna hiyo kuna uwezekano mkubwa mkurugenzi alikuwa mzinifu anatembea na mke au kimada wa mtu
Kama ingekuwa maswala ya siasa au itikadi za kidini asingeuwawa kwa namna hiyo.
Sia lazima...Muuaji ndie anaetaka akupe tafsiri anayotaka yeye. ndio maana polisi waachiwe kazi yao na sio kutafsiri tunavyotaka kwa kua tu kakatwa uume...Kukatwa uume ni ishara mojawpo hio.
Marekani kuna cases nyingi hazipati majibuMkuu kama tungekuwa na kitengo thabiti sidhani kama matukio ya namna hii yangelikuwa yamekithiri hivi...
Pamoja na kwamba cases za homicide au suicide huchukua muda mrefu kupata ushahidi, lakini ushahidi wake mara nyingi huwa wa uhakika kwa sababu analysis zqke hufanywa kisayansi na kwa utulivu mkubwa...
Tafsiri gan!Sia lazima...Muuaji ndie anaetaka akupe tafsiri anayotaka yeye. ndio maana polisi waachiwe kazi yao na sio kutafsiri tunavyotaka kwa kua tu kakatwa uume...
Ni vyema jina la hiyo asasi likawekwa sawa kwani kuna waliosema ni Islamic Foundation pengine kwa chuki zao kwa hiyo taasisi au hawajui taasisi nyengine ya kiislamu mbali ya hiyo na Bakwata.Asasi yake inaitwa Dalai Islamic Centre
Huyo mke wa Jirani yako alikueleza kwamba uume wa baba mkwe ulikuwa na majeraha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za upande wa pili hasa wanaoshinda nje ya hizo ofisi, ni kuwa aliingia na mwana mama, na ndiye aliyetoka peke yake, sasa changanya na safari ya Basi au kamtoa mitaaniTujikite kutafsiri maana ya KUUKATA UUME. Inawezekana wakati anakuja Dar kumwakilisha Shekh wa Dodoma aliondoka na mke wa mtu. Inawezekana wamekaa huku wakiinjoy na baada ya kurudi Dodoma akaamua wamalizie mambo yao ofisini.
KANZU SAFI BILA DOA: Nini maana yake, hii inaweza kutoa tafsiri kwamba huenda walimkuta akiwa mtupu wakikamilisha mambo yao na huyo mke wa mtu. Kwasababu kama walimvua kwa nguvu lazima ingechanika au kuchafuka sana kuashiria kuwa kulikuwa na pata shika nguo kuchanika.
Kwa kweli sisi Watanzania tumepoteza TUNU YA AMANI tunamfuata SHETANI. Ni ukatili wa aina yake na iweje jengo lote iwe ni yeye tu alikuwepo siku hiyo?
Je hakuna kitu au kifaa chochote kilikuwepo eneo la tukio wakichunguza kama kuna alama za vidole. Kiti alichokalia, kamba walizomfungia kama meza ipo je haijaguswa kwa mikono ya hao wahalifu? Mawasiliano ya simu yakoje. Kama simu alikutwa nayo je haina fingerprint ngeni!? Kuta za ofisi hakua alama za vidole? Mlango hauna alama za vidole.
Je hakuna specimen zinazoweza kutunzwa katika DNA kwa kuwanasa wahalifu hao baadaye, chunguzeni kanzu yake nani alimvua je hakuna alama za vidole vigeni.
Hata kama mtu ametenda kosa kubwa kiasi gani thamani kubwa ni msamaha, nafsi zitawasuta wauaji hao. Mungu MSAMEHE marehemu ipokee roho yake, Amina.
Duuh,Habari za upande wa pili hasa wanaoshinda nje ya hizo ofisi, ni kuwa aliingia na mwana mama, na ndiye aliyetoka peke yake, sasa changanya na safari ya Basi au kamtoa mitaani
Lakini hakukatwa wala kuibiwa simu wala hela zimekutwa
hakufungwa na abdala kichwa wazi hajakatwa ila kavishwa condo, joho pembeni, ila fulana kaivusha kisogoni
wanahisi alitumia vumbi la Congo na sildenafil dose ndio ilimzimisha
tuwaachie wenyewe R.I.P.
cc stella1975