Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Je Sheikh Rashid Bura al maaruf kama Dalai aliamua kujitoa uhai kwa lazima au kutokana na majuto au msongo wa mawazo kutokana na mapito yake?

https://www.thoughtco.com โ€บ seppu...
About Seppuku and Samurai Ritual Suicide - ThoughtCo

1 Mar 2019 ยท Seppuku, also called harakiri, is a form of ritual suicide practiced by ... samurai to provide release from the terrible pain of the abdominal cuts.

Seppuku, also known less formally as harakiri, is a form of ritual suicide that was practiced by the samurai and daimyo of Japan. It usually involved cutting the abdomen open with a short sword, which was believed to immediately release the samurai's spirit to the afterlife.
An re-enactment of seppuku

Seppuku rituals are played out
We nae akili Ndogo, Ina maana haukusoma umekurupuka na kuleta vicopy vyako vya kipimbi,.

Unaambiwa alifungwa kamba kwenye kiti, Kwaiyo alijifunga kamba ndo akajiua au alijiua ndo akajifunga kamba?
 
Ha ha [emoji16] si unajua jamaa unaingiza yooooooote, mpaka demu anaguna kwamba imefika mahali pake. Ndio wife anagongwa na kupinduliwa style kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app

mna udhaifu mkubwa sana, mtu kuliwa au kula ni mpaka apende mwenyewe, wife hajabakwa kwa akili zake timamu ameamua kufanyana na mtu mwingine ambaye si wewe, Ni vizuri kumuacha the so called wife na si kukatiza uhai wa mtu mwingine. Mgoni ana adhabu zake kwa mujibu wa taratibu. Kumuua binanadamu its too much And unacceptable. Huwa najiuliza sana wauaji huwa wanalipwa nini kinachoweza kuthaminishwa na uhai wa binadamu?

anyways i am no body to judge.
 
We nae akili Ndogo, Ina maana haukusoma umekurupuka na kuleta vicopy vyako vya kipimbi,.

Unaambiwa alifungwa kamba kwenye kiti, Kwaiyo alijifunga kamba ndo akajiua au alijiua ndo akajifunga kamba?

Anaweza akajitumbua chini ya usimamizi wenye mbinyo, kisha wabaya / washikaji wake chini ya kiapo cha yamini wakamfunga kamba. Katika kutatua sababu za uhalifu hakuna dhana ya kipimbi.

Tujiulize jina Dalai lilikujaje wakati ukisoma comments zote jina lake ni Bura.

www.chicagotribune.com
Suicide a common killer of cops, but Fox Lake scandal no ordinary case

8 Nov 2015 ยท Experts say officers may be more at risk of suicide than the average ... typical when he staged his own death to look like a homicide
 
Zipo taarifa kuwa marehemu amewahi kufanya kazi Ikulu kwenye serikali ya awamu ya kwanza.

Hivyo ni mtu ambae alikuwa akifahamika kutokana na rekodi hiyo.

Polis waendelee na ucnunguzi kubaini sababu za kuuawa kwake.
Ohhhh another clue =Police CID +State House staff = Poleni sana wafiwa
 
Duh! mkuu acha matani.

Nami unadhani ni mfiwa?
Mkuu ndiyo issues zimejitokeza hapa kutoka kwa wachangiaji. Yaani kifupi inahusishwa
Mke wa mtu + fedha au mali za Islamic Fund + former Police CID +former State house staff + informer plus mengine tutayasikia = Poleni wafiwa.

Tusubiri upelelezi kama itakuwa kesi mashuhuri utasikia watuhumiwa wamepatikana au bado watuhumiwa at large kuwa imeshindilkana kuwapata. Ila kama ni kimya kimya ndiyo basi tena.
Ila kwa walivyoeleza ni rahisi mno angalau mpaka sasa wangekuwa wanashikiliwa washukiwa wa awali.
 
NAONA WAANGALIA SIRIZI WANASHUSHA EXPIRIENSI ZAO ZA EPISODI KADHAA HAHAHAH ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ozark

Created by Bill Dubuque ("The Accountant," "The Judge"), this drama series stars Jason Bateman as Marty Byrde, a financial planner who relocates his family from Chicago to a summer resort community in the Ozarks. With wife Wendy and their two kids in tow, Marty is on the move after a money-laundering scheme goes wrong, forcing him to pay off a substantial debt to a Mexican drug lord in order to keep his family safe. While the Byrdes' fate hangs in the balance, the dire circumstances force the fractured family to reconnect.
 
Kosa la uume ni kuingia kwenye mashimo ya watu, ndiyo maana wakamtoa na uhai๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mmh, umeongea kimzaha lakini its possible, mtu kukufanyizia hivyo lazima ni interrogation au kitu personal sana kama hicho..
 
Ndugu yangu mtu anapokuwa kwenye changamoto kila mmoja wetu ana namna yake yakumaliza changamoto zake wengine kuua wengine kuacha mke nk
Hatakama lakini inabidi kuhesabu gharama kabla ya kile utakachokifanya!

Sasa unajua walichokifanya gharama yake ni kubwa ktk maisha yao na vizazi vyao!

Kwanza wajue lazima watakamatwa.

Pia wajue hiyo laana ya kumwaga damu ya mtu itaenda kudhuru hadi vilembwe wao.

Sasa hivi tunavyoongea hao walofanya hayo mauaji watakuwa hawana raha ya nafsi,

Watakuwa hawana uhuru wa kutembea popote,

Watakuwa usingizi mzuri hawapati ,

Watakuwa wanaona mauzauza tu na kuweweseka!

Damu ya mtu ina siri kubwa asikwambie mtu.

Sasa kwa kuzingatia tabu zote hizo si ni afadhali kumtwanga talaka huyo mwanamke anayekusababishia shida?

Wanaume wa kiafrika hususa ni bongo mnahitaji mafundisho ya kisaikolojia ili akili zenu zipate afya muweze kufanya maamuzi sahihi yasiyo na majuto maisha yenu yote na vizazi vyenu


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu kwenye changamoto kila MTU ana style yakumaliza yanayomsibu
Hayo ni mapokeo mabaya!

Sasa na kuulize hata kama ingekuwa ni kweli kwani jamaa alimbaka huyo demu wako au mkeo?

Kwanini usimuazibu huyo mkeo kwa kumuacha gafla?

Hiyo mbona ni adhabu kubwa sana ambayo athari zake hazitakuathiri kwa kiasi kikubwa?!

Hayo ya kusema eti atakudharau ni mtazamo wa kimapokeo tu.

Ndo maana Mungu kaagiza muishi na wake zenu kwa akili .

Nyie badala ya kutumia akili kuamua mnatumia hasira na nguvu mwisho wa siku mnaishia majuto


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ndiyo issues zimejitokeza hapa kutoka kwa wachangiaji. Yaani kifupi inahusishwa
Mke wa mtu + fedha au mali za Islamic Fund + former Police CID +former State house staff + informer plus mengine tutayasikia = Poleni wafiwa.

Tusubiri upelelezi kama itakuwa kesi mashuhuri utasikia watuhumiwa wamepatikana au bado watuhumiwa at large kuwa imeshindilkana kuwapata. Ila kama ni kimya kimya ndiyo basi tena.
Ila kwa walivyoeleza ni rahisi mno angalau mpaka sasa wangekuwa wanashikiliwa washukiwa wa awali.
ุงู† ู„ู„ู‡ ูˆุงู† ุงู„ูŠู‡ ุฑุงุฌุนูˆู†
Kwanza jee kuna mwenye picha ya marehemu ili atuwekee yawezekana tumewahi kukutana naye sehemu tofauti bila kumjua yeye ni nani.Hii pia itasaidia kupata taarifa na viashiria vya ziada.
Jengine huyu sheikh kuna uwezekano mkubwa ameuliwa na watu wasiojulikana kwa madhumuni ya kutoa ujumbe fulani safari hii.Kwani kwa kawaida wasiojulikana hufanya uhalifu wao mahali kusikojulikana na wahanga wao hajulikani kilichowakuta na kila siku ndugu hudhani ataonekana.
Kama ni watu hao waliomuuwa basi hakuna kitu kitajulikana kwani mafaili ya uhalifu kama huu hayadumu sana na habari zake hupotea milele , na kama ni wahalifu wa kawaida kwa kisa chochote kile kutokana na eneo la tukio na hali ya tukio basi lazima watapatikana na kusimamishwa kizimbani.
Kwa wenzetu matukio ya mauwaji huwa yanafuatiliwa hata miaka mia mbele.tena basi yanapitiwa na maendeleo tofauti ya kiteknolojia lakini hatimae wahalifu hujulikana na kama wako hai hufikishwa mahakamani.
 
Siku 5 mpaka ilipogundulika jana na kukuta mwili uko uchi wa mnyama huku akiwa na majeraha ya kisu tumboni na amekatwa uume wake lkn wameuacha unaninginia na huku akiwa amefungwa kamba kwenye kiti kanzu yake imekutwa imewekwa pembeni haina hata doa la damu

Jr[emoji769]
Hilo jengo halina ofisi zingine, taarifa za kupitia kwa siku 5toka kwa wanafamilia akifika he hapo au mara ya mwisho alikuwa wapi kabla haja pore Hana simu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom