Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Viongozi wa kiislamu watoe amri kuwa mtu Kama Ana wake zaidi ya mmoja mfano Ana wake wanne awape taarifa wote kwa mpigo alipo Kama hatarudi nyumbani ili kuepusha ukware uliopindukia wa vidume vya kiislamu .Asipoaga wote inabidi kesi ipelekwe haraka msikitini na wanawake wote waombe talaka na wote wagawiwe Mali za hicho kidume kiislamu kikware
Nashauri watu wenye wake 4 kama Jafo au Kitenge mwenye wake 3 aunde group la Whatsapp na wake zake wawe wanapeana updates na ratiba zote humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi mkuu wala sina tatizo juu ya hilo ila kwa kila mtu Roho anaendelea kumsadikisha juu ya habari ya kumpokea Kristo maadamu muda ungalipo na hivyo kufanya uamuzi binafsi wa aidha kumpokea au laa

Tunayo mifano kadhaa ya watu waliofanya maamuzi ktk namna ya siri pasi na kuonekana na watu mfano Nikodemu na yule mwizi msalabani lakini pia kuna mfano wa wale watendakazi shambani kwa ujira wa dinari 1 wale wote walisikia wito ila kuna walioanza kazi asubuhi ila wapo walioingia jioni ila wote walilipwa sawa

Kwa hiyo haina haina maana kuwa watu wasimpokee Kristo kungali na nafasi sasa wakitegemea dk za mwisho kwa maana hujui kama utaupata muda wa kumpokea Kristo ni sasa na si wakati mwingine ila na sisi kwa kuwa hatufahamu hatma ya mtu hatupaswi kusema amepotea maana hatujui alimalizaje mwendo
Mnaojifariji na mistari hii mko kinyume kabisa na sababu zilizomleta humu duniani. Ka ni hivyo hata walio motoni huenda siku moja wakatolewa kwa maombi yenu.
Nasema, Yesu hatompokea aliyemkataa au kumuonea haya hapa duniani. Alisema; Atamuonea haya mbele za Babake na malaika wake watakatifu.
Mkubali leo, waambie watu uamizi wako wa busara wa kumpokea awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako hapa ulimwenguni. Halafu uupokee uzima wa milele leo wala sio baada.
 
Ingelikuwa kweli basi kuna watu wameua sana na bado hawana kujuta na wana kula bata.
Haha mambo ya MTU haipotei siku hizi siyaamini


Kwa sehemu fulani nimejaribu kukuelewa!

Nimejaribu kuchukulia mfano mtu mbaya mwenye kuua watu mfano jambazi au gaidi au mwalimu wa ugaidi mfano wa Osama mtu kama yule akiuawa inachukuliwa kama malipo ya yale mabaya aloyafanya.

Kwa hiyo hata mtu akilaani inakuwa kama dua ya kuku ambayo haiwezi kumpata mwewe!

Sababu ya yale mabaya alofanya!

Na pengine hata kufa kwake inakuwa afadhali ya wengi ktk jamii sababu uwepo wake pengine ungeweza kudhuru maisha ya watu wengi!

Hii dunia kumbe ina mambo mengi sana!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je Sheikh Rashid Bura al maaruf kama Dalai aliamua kujitoa uhai kwa lazima au kutokana na majuto au msongo wa mawazo kutokana na mapito yake?

https://www.thoughtco.com › seppu...
About Seppuku and Samurai Ritual Suicide - ThoughtCo

1 Mar 2019 · Seppuku, also called harakiri, is a form of ritual suicide practiced by ... samurai to provide release from the terrible pain of the abdominal cuts.

Seppuku, also known less formally as harakiri, is a form of ritual suicide that was practiced by the samurai and daimyo of Japan. It usually involved cutting the abdomen open with a short sword, which was believed to immediately release the samurai's spirit to the afterlife.
An re-enactment of seppuku

Seppuku rituals are played out
 
Wakati fulani unaweza ukadhani kina mama na waifu ni wasumbufu kukupigia simu mara 3 kwa siku. They have a point. Waif akikuita baby uko wapi anamaana yake. Huyu ustaadh angekua na tabia ya kupigiana na waif mara kwa mara. Asingeozea kwenye kiti huku balozi wa ngono akiwa amekatwa na ananinginia
Hapo kwenye kupiga simu mmmm waume wengi hawapendi huona usumbufu bora akapigiwa na mchepuko kuliko mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAUBIG,
Ina maana huyu Mkurugenzi tukio limemkuta Dar akapelekwa Dodoma akiwa mzima? Au hata Dar hakufika kumwakilisha Shekh wa Dodoma mbona inachanganya hii. Kwa kweli Polisi wana kazi ngumu sana.
MAUBIG,
Poleni sana. Kama nimeelew vizuri ni kuwa unasema kikao kilikuwa Dar na yeye alikuwa Dar. Lakini akaja kupatikana kauwa ofisini Dodoma. Na makazi yake ni Dodoma. Ndivyo ilivyo?
Wooote mmezungumza hapa, Lakini mnazunguka pale pale hivi humu Hakuna wa kutuwezesha kujua mambo muhimu Kwanzaa? Hakuna anaejua Juu Ya safari yake ndio twaweza kujadili vizur, tunataka aliepata taarifa Juu Yikao au hakufika? Na je Hakuna anaejua mazingira ya hiyo ofisi yake atuelezeee hapa? Ili tujue kuwa ofisi iko gorofani au chini? Na je Kama iko chini au gorofani hana Msaidizi. Wake? Na siku zote hizo hao wasaidiz waa kwamba tangu aondoke kwake zilipita Siku ngapi? Na je alipoondoka Kwa kumwakilisha shehe wa Mkoa je alienda dar au Alikuwa hajaenda? Na je watu Wa huko kwenye kikao Dar wanasemaje? Je alifika kwenye kke hawakwenda ofisini? Na je mazingira ya hiyo ofisyake ikitokea mtu anapiga kelele majirani wanaweza kusikia au hawawezi? Tukipata hizo information tunaweza jadili vizur
Ofisi yake ipo ghorofa ya pili juu katika Ofisi za Daily News na TCCIA
kwa siku 5 inawezekana kwani inasemekana alifika Dodoma kutoka Dar kwa Basi la Kimbinyiko na ilikuwa Week end
tuseme funguo za Ofisi alikuwa nazo na ni Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne Jumatano
MUNGU amlaze pema Peponi huyu Ustadhi, alikuwa mpambanaji hasa katika Kesi za Viwanja na nyumba za Wakfu na viwanja vya Misikiti hasa Mahakamani kwani zamani alikuwa Askari CID
POLISI watafanikiwa tu
 
Ofisi yake ipo ghorofa ya pili juu katika Ofisi za Daily News na TCCIA
kwa siku 5 inawezekana kwani inasemekana alifika Dodoma kutoka Dar kwa Basi la Kimbinyiko na ilikuwa Week end
tuseme funguo za Ofisi alikuwa nazo na ni Jumamosi, jumapili, jumatatu, Jumanne Jumatano
MUNGU amlaze pema Peponi huyu Ustadhi, alikuwa mpambanaji hasa katika Kesi za Viwanja na nyumba za kwao hasa Mahakamani
POLISI watafanikiwa tu

Zipo taarifa kuwa marehemu amewahi kufanya kazi Ikulu kwenye serikali ya awamu ya kwanza.

Hivyo ni mtu ambae alikuwa akifahamika kutokana na rekodi hiyo.

Polis waendelee na ucnunguzi kubaini sababu za kuuawa kwake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni shida wakati mwingine ni kwa usalama sasa akiwa kwenye mambo yake anaona
anakatwa stimu, wanakujaga juta mambo yalisha haribika
Mume wangu na anisamehe,sm yangu na sms ni 24/7 maswala ya kukaa eda Mume alikufa na kuzikwa mwezi ulopita #bigno[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawasiliano kwa familia nayo mmmm baba anasema nakuja leo au nimeshuka halafu kimya mm kwa mtu mwenye mawasiliano mazuri na familia lazima wasituke huyu kasema ameshuka sasa yupo wapi tena
Ofisi yake ipo ghorofa ya pili juu katika Ofisi za Daily News na TCCIA
kwa siku 5 inawezekana kwani inasemekana alifika Dodoma kutoka Dar kwa Basi la Kimbinyiko na ilikuwa Week end
tuseme funguo za Ofisi alikuwa nazo na ni Jumamosi, jumapili, jumatatu, Jumanne Jumatano
MUNGU amlaze pema Peponi huyu Ustadhi, alikuwa mpambanaji hasa katika Kesi za Viwanja na nyumba za kwao hasa Mahakamani
POLISI watafanikiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofisi yake ipo ghorofa ya pili juu katika Ofisi za Daily News na TCCIA
kwa siku 5 inawezekana kwani inasemekana alifika Dodoma kutoka Dar kwa Basi la Kimbinyiko na ilikuwa Week end
tuseme funguo za Ofisi alikuwa nazo na ni Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne Jumatano
MUNGU amlaze pema Peponi huyu Ustadhi, alikuwa mpambanaji hasa katika Kesi za Viwanja na nyumba za Wakfu na viwanja vya Misikiti hasa Mahakamani kwani zamani alikuwa Askari CID
POLISI watafanikiwa tu
OK umeniweka vizur Kwa hiyo hao watu walimuulia humo ofisini, maaana nilitaka kujua Kama ofisi ingekuwa chini kungeweza kuhisiwa kuwa wamemua nje wakamuingiza ndani ofisini Kwa hiyo walimuulia ofisini sasa tujiulize waliingia nae ofisini au walimkamata wakampeleka humo au aliingia na mwanamke humo wakaingia wakamkamata na kumuweka chini ya ulinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawasiliano kwa familia nayo mmmm baba anasema nakuja leo au nimeshuka halafu kimya mm kwa mt7 mwenye mawasiliano mazuri na familia lazima wasituke huyu kasema ameshuka sasa yupo wapi tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Wananchi waislamu na waumini wa msikiti wa Nunge wanasema alisali hapo msikitini jumapili na kisha kuwanunulia waumini wenzie kahawa na kukawa na barza kidogo.

Alikuwa ni mtu wa watu.

Baada ya hapo ndipo mwili wake unakuwa kama inavyoelezwa.

Ina Lilah wa ina ilayhi raji'un
 
Huyo Kama alifika dar, akamaliza kikao akarudi dom akawataarifu kuwa amefika, basi waliomuua yumo mtu ambae wanafahamiana Kwa ukaribu aidha alitumiwa kuuwawa Kwa kushirikisha mwanamke akamvuta had ofisini au aliongea na mtu wanaefahamiana Kwa karibu Sana wakakubaliana kukutana ofisini kabla hajaenda kwake, alipofika ofisin akamsubiri ndipo hao wabaya wakamwiingilia ofisini gafla huyo ameuwawa aidha Kwa mipango ya mtu anaemjua ameshiriki kumuuua au kumshirikisha mtu ambae wanaukaribu nae na atakuwa waliweka appointment ya kukutana ofisini wakamvizia ameingia wakamnyoshea mtutu atulie ndio wakamuuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom