Sahihi NIDA kule kuna finger print sasa je vp kuhusu DNA? au ukipata finger print unapakuanzia kwenye DNA?Tatizo hawataki kuajiri ila wataalamu wa finger print tupo,tunaweza kutumia data base ya nida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ustaaz atakua alibeba mke wa mtu tu huyo
Uzinifu inawezekana,kuzidiana kete ktk mapesa ya misaada ya waarabu nayo inawekana,katika pesa ambazo zimeleta maafa mengi kwa ndg zetu wa taasisi za kiislamu ni hizi za misaada ya waarabu.na mara nyingi hurushiana AKINA MAIMUNA.Kwa mauaji ya namna hiyo kuna uwezekano mkubwa mkurugenzi alikuwa mzinifu anatembea na mke au kimada wa mtu
Kama ingekuwa maswala ya siasa au itikadi za kidini asingeuwawa kwa namna hiyo.
Obviously,mtu hawezi kuja ofisini bila mawasiliano simu yake lazima Ina information muhimu
Hawatumii carbon 14,Kuna wataalamu,Kuna njia zimenitoka kidogo huwa wanstumia kujua maiti imekufa lini,japo haiwezi kuwa 100 percent
Akili za KitotoViongozi wa kiislamu watoe amri kuwa mtu Kama Ana wake zaidi ya mmoja mfano Ana wake wanne awape taarifa wote kwa mpigo alipo Kama hatarudi nyumbani ili kuepusha ukware uliopindukia wa vidume vya kiislamu .Asipoaga wote inabidi kesi ipelekwe haraka msikitini na wanawake wote waombe talaka na wote wagawiwe Mali za hicho kidume kiislamu kikware
DNA,ni advanced kidogo,kwani inategemea mhalifu Kama kaacha unywele,au kipisi Cha sigara ,katema mate,au kulitokea purukushani kadondosha damu,etc.Sahihi NIDA kule kuna finger print sasa je vp kuhusu DNA? au ukipata finger print unapakuanzia kwenye DNA?
Oooooh,wapo hata huko,na tusuruali twao na tumzuzu kama ndevu za mahindi,si ajabu kakataa miito mambo yao,wakaaaua I UK mbomoa kbsaaaaajehdina
Ofisi yake haikuwa na CCTV?DNA,ni advanced kidogo,kwani inategemea mhalifu Kama kaacha unywele,au kipisi Cha sigara ,katema mate,au kulitokea purukushani kadondosha damu,etc.
Hapo Sasa ndo vinaweza tumika vifaa ya kukusanya sample kwenye crime scene ,lakini Tena bila DNA database ni useless.
As for fingerprint ,hata Kama Kuna database,Kama wahalifu ni profesheni,wanavaa gloves ama watafanya sanitation ya eneo la tukio kabla hawajaondoka
Umejuaje haya wewe??Wamemkata uume ili ionekane ni wivu wa mapenzi kumbe wauaji walikuwa na ajenda tofauti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeambiwa na nani kama huwa hawaagi wake zao wanapoenda kwa Mke mmoja wapi?Viongozi wa kiislamu watoe amri kuwa mtu Kama Ana wake zaidi ya mmoja mfano Ana wake wanne awape taarifa wote kwa mpigo alipo Kama hatarudi nyumbani ili kuepusha ukware uliopindukia wa vidume vya kiislamu .Asipoaga wote inabidi kesi ipelekwe haraka msikitini na wanawake wote waombe talaka na wote wagawiwe Mali za hicho kidume kiislamu kikware
Aah,CCTV ni gharama Sana,Nani Ana laki 5 ya kuchezea?Ofisi yake haikuwa na CCTV?
Lakini mtuhumiwa hapo alifungwa kamba pia kavuliwa kanzu ni sehemu za kutafuta sampuli ya watuhumiwa naamini hata uume watakuwa waliushika wameacha alama hapoDNA,ni advanced kidogo,kwani inategemea mhalifu Kama kaacha unywele,au kipisi Cha sigara ,katema mate,au kulitokea purukushani kadondosha damu,etc.
Hapo Sasa ndo vinaweza tumika vifaa ya kukusanya sample kwenye crime scene ,lakini Tena bila DNA database ni useless.
As for fingerprint ,hata Kama Kuna database,Kama wahalifu ni profesheni,wanavaa gloves ama watafanya sanitation ya eneo la tukio kabla hawajaondoka
Ndio,Kama hawakuvaa gloves ama hawakufutaLakini mtuhumiwa hapo alifungwa kamba pia kavuliwa kanzu ni sehemu za kutafuta sampuli ya watuhumiwa naamini hata uume watakuwa waliushika wameacha alama hapo
Mwanamke akikushinda mwache.... sasa kitakachoendelea ni kuwatafuta waliomuua na waliowatuma wakaue.
Damu ya mtu haipotei hivihivi watapatikana tuu
Ni kwamba uume ndio ulikuwa unaadhibiwa kwa makosa uliyo tenda, au sivyo?Yani kisoma hujui hata kutafasili picha inashindwa!!
Amekatwa chanzo cha kuuawa kwake mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani jeshi letu la polisi tayari lina kanzidata (database) ya DNA?Lakini mtuhumiwa hapo alifungwa kamba pia kavuliwa kanzu ni sehemu za kutafuta sampuli ya watuhumiwa naamini hata uume watakuwa waliushika wameacha alama hapo