Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Apumzike pema anapostahili na pole nyingi kwa familia, ndugu, jamaa na wote waliokuwa wakimtegemea.
 
That is a crime of passion, ukiona MTU anachukua muda wake kumtesa mwenzake Kabla ya kumuua mara nyingi mauaji hayo yanahusiana na mapenzi au kisasi
 
Ustaaz atakua alibeba mke wa mtu tu huyo


Hata kama ni kweli angekuwa amefanya hivyo Je alistahili kuuawa ?

Kutembea na mwanamke kwani ndo aliibandua papuchi ya huo mwanamke akaondoka nayo?

Maisha ya mwanadamu yana thamani kubwa sana!

Kwanini umuue mwanadamu mwenzio Kisa eti katembea na mkeo au binti yako au vyovyote!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isije ikawa kukata uume ni mpango mahsusi ili ionekane ameuwawa kwa sababu za mapenzi lengo ikiwa ku divert & misleading uchunguzi. Nawaza tu!

Mwenyezi Mungu ndiye mjuzi zaidi. Amekufa kifo kichungu sana.
Ndo hivyoo akili kubwa

tatizo lugha
 
Hata kama jamaa watakuwa wameondoka na simu , kwa kuwa simu ya Shekhe inajulikana mahakama wanajua namna ya kuwasilisiliana na watu wa TCRA wata trace mazungumzo ya siku za mwisho na sms.

Kwani yule Billionaire Msuya kule Arusha walomuua walioatikanaje?!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakunaga matukio kama haya. Ni kwamba yameanza sasa? Au kuna raia wa kigeni wanaendesha hujuma chini kwa chini?
 
That's big thought mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa hakuna mwenye sababu ya kujua chanzo cha mauaji, tunaomba kwa heshima na taadhima mods jf futeni uzi

Sidhani kama ni vibaya kutoa taarifa ya jambo lakini namna ya kujadili inaweza kueleza kusudi la uanzilishi wake

Sasa basi kwa kuzingatia utu na heshima ya binadamu tunaomba mfute hii mada inavuka mipaka

Kwetu sisi kitu kinachoitwa kifo hakijawahi kufanyiwa mizaha sijui kwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka siku 5 zinaishabinabmaana hana hata ndugu au mke au watoto ata familia kutoa taarifa kuwa mtu wao siku kadhaa zimepita hawajamwona au kuwa na mawasiliano nae?
 
Hiyo ofisi yake haina secretary? anaimiliki mwenyewe bila mtu mwingine kuhusika na shughuli nyingine hata za usafi? Ninavyoelewa kwa nafasi take lazima ofisi yake itakuwa na wasaidizi kadhaa, waanze kuulizwa hao.
 
That's big thought mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati fulani unaweza ukadhani kina mama na waifu ni wasumbufu kukupigia simu mara 3 kwa siku. They have a point. Waif akikuita baby uko wapi anamaana yake. Huyu ustaadh angekua na tabia ya kupigiana na waif mara kwa mara. Asingeozea kwenye kiti huku balozi wa ngono akiwa amekatwa na ananinginia
 
Nina uhakika hao sio professional killers lazima watadakwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni profession mkuu just imagine mtu anauliwa ofisini kwake na inaonekana tukio lilichukua muda kidogo co mpaka kanzu inavuliwa inachukua muda wanamfunga kwenye kiti kisha kumchoma kisu tumboni bila jamaa kupiga kelele kisha kukata uume sio simple mkuu yaan kwa Imani yangu wahusika wanaweza kuwa watu wa mazingira hayo hayo ya ofisini au watu wanaopaelewa vizuri hayo maeneo ya ofisi au kuna watu wameshirikina na watu wa hapo ili kuweka timing nzuri za kufanya hayo mauaji maana halikuwa jambo la dk na kusepa hilo tukio liliandaliwa na kuratibiwa kwa utulivu mkubwa mno wa akili na waliofanya ni wazoefu wa mauaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I beg to differ.
The more we discuss the more the detectives are more likely to have a lead.
 

Wapo wanaume wengine wanaona kufanyiwa hivyo ni kero Ila ndo wajifunze. Watakuja kuzikwa na manispaa kwa uzembe wao
 
Hahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikajua Mambo haya yameishia kwenye vitabu vya kina Ben mtobwa!! Kumbe bado kuna watu wanaendelea kutandaza madimbwi ya damu!! Kwani mtu huyu alishawahi kufanya nini chenye mikataba ya kishetani..?
 
Watu kama nyie ni Hatari sana.Unajua maneno yako haya na wanywa kahawa wanayasoma na kwa akili zao wengi utawapotosha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanajiamini kuingia ofisisini wameadhibu akiwa uchi .alieuwawa kiongozi wa dini. pia siku ilionekana maiti .ndio sikuu ya dini ingine. nadhani nimeeleweka .aliesema siku tano tuanziae kwake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…