Dodoma: Mume adaiwa kumuua mke wake kwa shoka kisa wivu wa mapenzi

Dodoma: Mume adaiwa kumuua mke wake kwa shoka kisa wivu wa mapenzi

Ile wiki ya urasa na kweka

Kuna yule mwanachuo gongo la mboto
Wale wa musoma
Kuna mwingine yeye alikunywa sumu njombe huko (mwanaume)
Arusha nao waliuana 1 ni mapenzi
Mwingine alikutwa amekufa kwenye bnb
Ni kweli mkuu una kumbukumbu nzuri sana, haya mambo yatatumaliza
 
Kibaya zaidi ni kwamba hao wanaofanya hivyo wanaonekana mashujaa huku kwenye mitandao,
Hali inayochochea wengine pia kuona kumbe inawezekana tu kufanya.
Hii ni hali mbaya. Mungu atusaidie
Kabisa,Namna yanavyoshabikiwa na kujadiliwa tutarajie kuyasikia kila siku.
 
Back
Top Bottom