Dodoma: Mume adaiwa kumuua mke wake kwa shoka kisa wivu wa mapenzi

Dodoma: Mume adaiwa kumuua mke wake kwa shoka kisa wivu wa mapenzi

Hivi wana ndoa wanaona sifa kuuana? Nini hii? Khaaah
 
Jamaa kafanya jinai lakini nina uhakika mwanamke alistahili hilo shoka.
Na mpaka wajifunze kuheshimu ndoa zao na wanaume zao there will be a lot of blood.
 
kadri majina ya pombe za makopo zinavyoongezeka na mauaji pia serikali inabidi iangalie sana hizi pombe za makopo na za kupima zinafanya watu wanakuwa vichaa
 
Akina mama wanachepuka sana waziwazi akiona haitoshi anakuita,kibamia,mwanaume suruali,kimoja chali huku mume anajua kabisa anamegewa sishabikii ila huyu jamaa anaonekana alidhamiria akaona bora akifie jela
Niliambiwa umri unavoenda unaanza kuona jela sio suala la kutisha tena.
 
Kibaya zaidi ni kwamba hao wanaofanya hivyo wanaonekana mashujaa huku kwenye mitandao,
Hali inayochochea wengine pia kuona kumbe inawezekana tu kufanya.
Hii ni hali mbaya. Mungu atusaidie
Nimwendo wakugawana majengo yaserikali tuuu
 
kadri majina ya pombe za makopo zinavyoongezeka na mauaji pia serikali inabidi iangalie sana hizi pombe za makopo na za kupima zinafanya watu wanakuwa vichaa
Acha kuropoka kuuana hakujanza leo tangu kwakina kaini na Abel nahadi dunia ifutike kuuana hakuishi inamana walioua watu 29 October nao walikunywa pombe
 
Mwezi huu wa kumi tuupe badge ya Mwezi wa mauji ya kikatili na kilele chake iwe tarehe 29/10 kila mwaka

Ili kujenga awareness kwa watu wajifunze kujishikilia huko kwenye mahusiano matukio ni mengi sana
 
Mhhh, hivi ni nini haya yote lakini? Mtu mmechokana au ana tabia isofaa na hamuendani si umwache aende zake sheikh?

Ujue Wazungu waliona mbali kuanzisha Ndoa za mikataba hata kama sie twaona Haram
Umwache aende wakati yeye anafanya hivyo maksudi ili mgawana mali ulizovuja jasho na damu. Mkiachana nyumba moja anaishi na ule mchepuko wake ulio Sababu ya ndoa kuvunjika.
 
Mwanamama Clementine(RIP)miaka 58.Sijui mume bw.Raphael alikuwa na umri gani?Labda 55-60's!Na bado wanaongozwa na wivu,hasira na chuki?Mambo ni magumu sana.Kila mmoja a-fasten the seat belts.We are about to take off!Asiachwe mtu.
 
CC092524-00BA-4D40-9701-802E37673AA9.jpeg
 
Ila wanaume wengine bana, unaendekezaje wivu kwa mwanamke wa miaka 58🤔
Yaani mimi hapo ndipo nimechoka kabisa!!!! Mwanamke ana miaka 58 inaonekana huyo mwanaume ana miaka zaidi ya 60!!!! Eti wivu wa mapenzi!!!! Kuna tatizo la afya ya akili kwa baadhi ya wanaume nowadays!!!!
 
Jaman, ukiona mkeo anachepuka,mpe talaka akachepuke akiwa kwao..... mambo ya kusubiri ndugu / kanisa lisuluhishe mambo ambayo huwez kusamehe ni kuzalisha mawazo ya kuua mwezako.

Na nyie mapadri sijui wachungaji
Mtu anapokuja kwa lengo la kutaka talaka na mwenza wake, ukisuluhisha wakishindwa kuelewana na kusameheana waacheni waandikiane talaka...
Hizi stori za flan kamuua mke wake zinageuka kama ndo njia rahis ya kuachana na mwenza wako.
Kwa nini usubiri mpaka Padri au Mchungaji akuruhusu? Huo ni utaahira. Mmechokana, mambo hayaendi nendeni mahakamani mpeane talaka!!!!
 
Akina mama wanachepuka sana waziwazi akiona haitoshi anakuita,kibamia,mwanaume suruali,kimoja chali huku mume anajua kabisa anamegewa sishabikii ila huyu jamaa anaonekana alidhamiria akaona bora akifie jela
Sasa huyo mwanamke ana miaka 58, asichepuke huko ujanani wakati akiwa bado mbichi aje achepuke kwenye umri huo!!! Kweli????!!!!????
 
Back
Top Bottom