Dodoma: Mume adaiwa kumuua mke wake kwa shoka kisa wivu wa mapenzi

Dodoma: Mume adaiwa kumuua mke wake kwa shoka kisa wivu wa mapenzi

Kwa nchi zenye kujielewa kama China hapa ingepitishwa sheria ya dharura. Death by firing squad kwa wote wanafanya mauaji kwenye ndoa kwa kipindi hiki. Hapo hapo tatizo linaisha.

Kama ile ya mauaji ya albino na vikongwe, ingeanzishwa hiyo penalty mbona kila raia angegeuka mgambo kuwalinda albino.
 
Kwani akina Raphael Ulanga nao ni miongoni mwa Wachaga?
Brother, by default mauwaji kwenye ndoa assumption ni wale jamaa. Uelewa huja baadaye baada ya ufafanuzi kama huu. Shukran.
 
Kuzimu na pepo viko hapa hapa, Kichwa chako tu.
Ukitaka kuona shetani anafananaje njoo Tanzania.
 
Mhhh, hivi ni nini haya yote lakini? Mtu mmechokana au ana tabia isofaa na hamuendani si umwache aende zake sheikh?
Hahahaa; Ataendaje bila alama ya kudumu?
Ujue Wazungu waliona mbali kuanzisha Ndoa za mikataba hata kama sie twaona Haram
Nao wana changamoto zao kwenye hizo ndoa za Mikataba sema tu hawapazi sauti kama sie.
 
Kwa nchi zenye kujielewa kama China hapa ingepitishwa sheria ya dharura. Death by firing squad kwa wote wanafanya mauaji kwenye ndoa kwa kipindi hiki. Hapo hapo tatizo linaisha.

Kama ile ya mauaji ya albino na vikongwe, ingeanzishwa hiyo penalty mbona kila raia angegeuka mgambo kuwalinda albino.
Brother, katiba yetu inataka mtuhumiwa apewe haki yake ya msingi ya kusikilizwa ikichagizwa pia na mikataba mbalimbali ya haki za binadamu ambayo kama nchi tumeridhia.

Tuheshimu uhai wa binadamu ambao ndicho kitu cha thamani zaidi kwa binadamu yeyote. Tusiende njia ya akina Duterte wa Ufilipino.
 
Hahahaa; Ataendaje bila alama ya kudumu?

Nao wana changamoto zao kwenye hizo ndoa za Mikataba sema tu hawapazi sauti kama sie.
Changamoto zao hazifikii kuuana hivi kama nyie Sheikh, unaishi na Mtu kwa makubaliano ya miaka minne thn mnakubaliana kuzaa mtoto mmoja au wawili mnaachana mnabakiza kusomesha tu
Mie ndio mana huwa nakuambieni hakuna ndoa zenye uaminifu kama za kiarabu
 
Mhhh, hivi ni nini haya yote lakini? Mtu mmechokana au ana tabia isofaa na hamuendani si umwache aende zake sheikh?

Ujue Wazungu waliona mbali kuanzisha Ndoa za mikataba hata kama sie twaona Haram
Wakati mwingine kumuacha mtu "aende" si rahisi kama unavyodhani.
 
Akina mama wanachepuka sana waziwazi akiona haitoshi anakuita,kibamia,mwanaume suruali,kimoja chali huku mume anajua kabisa anamegewa sishabikii ila huyu jamaa anaonekana alidhamiria akaona bora akifie jela
Miaka 58! Hatari Sana.
 
Brother, katiba yetu inataka mtuhumiwa apewe haki yake ya msingi ya kusikilizwa ikichagizwa pia na mikataba mbalimbali ya haki za binadamu ambayo kama nchi tumeridhia.

Tuheshimu uhai wa binadamu ambao ndicho kitu cha thamani zaidi kwa binadamu yeyote. Tusiende njia ya akina Duterte wa Ufilipino.
Mkuu kwani adhabu ya kifo mtuhumiwa anapewa tu mtaani, si inatolewa mahakamani?

Mojawapo ya njia ya kuheshimu uhai ni kutoa adhabu kali zaidi kwa mtu anayeondoa uhai ili kutoa fundisho kwa wengine. Kesi ya ngapi hii mtu anamuua mke wake ndani ya miezi miwili tu.

Wataona ni kitu cha kawaida. Inaitishwa dharura kwa muda fulani yeyote anayeua mwenza wake tunamnyonga. Utaona kama kuna hata paka wa kwenye ndoa anauwawa.
 
Back
Top Bottom