Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Hivi kuna sababu gani ya kufuga ng'ombe kama hitaji lako ni glass ya maziwa ambayo hupatikana kwa kila mama lishe?Na bado.
Hivi kuna sababu gani ya kufuga ng'ombe kama hitaji lako ni glass ya maziwa ambayo hupatikana kwa kila mama lishe?Na bado.
Inasemekana hao ndiyo huwa na mapenzi matam balaaMiaka 58! Hatari Sana.
Ni rahisi sana kama ukiona dalili za kuua au kuuawaWakati mwingine kumuacha mtu "aende" si rahisi kama unavyodhani.
Tukio la mauaji linalodaiwa kusababishwa na wivu wa mapenzi limetikisa Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Kigwe, Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 58, Clementine Pius, kudaiwa kuuawa na mumewe, Raphael Ulanga kwa kushambuliwa kwa shoka kichwani.
Tukio hilo limetokea Octoba 14, 2026 majira ya saa 4 usiku, ambapo Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu wamesema mtuhumiwa Raphael Ulanga baada ya kutekeleza shambulio hilo alijisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi.
Ndugu wamesema kifo cha Marehemu kimewaacha katika majonzi makubwa, huku wakihimiza wanandoa wenye migogoro kutafuta suluhu kupitia mazungumzo, usuluhishi na msaada wa kisheria badala ya kutumia nguvu.
Akizungumzia tukio hilo, Diwani wa Kata ya Kigwe, Adon Mabalwe, ameeleza kusikitishwa na mauaji hayo na kutoa wito kwa wanandoa na familia zinazokabiliwa na migogoro kutafuta msaada kutoka kwa viongozi na vyombo husika kabla tofauti zao hazijafikia hatua ya kusababisha madhara makubwa.
Soma Pia: Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni
Aidha Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuuchukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi na hatua nyingine za kisheria, huku mtuhumiwa akishikiliwa kwa ajili ya hatua za kisheria
Chanzo: Jambo Tv
View attachment 3691320
Hakuna sababu - ni kutokujitambua tu.Hivi kuna sababu gani ya kufuga ng'ombe kama hitaji lako ni glass ya maziwa ambayo hupatikana kwa kila mama lishe?
Kiburi cha 50/50 ndo kinawaponza wengi.Ni rahisi sana kama ukiona dalili za kuua au kuuawa
Tanzania Itakosa Nguvu Kazi, Uzao UtakomaMapenzi yafutwe na ndoa ifanywe kuwa kosa la jinai, watu wazae, na kupeana utamu bila maagano yoyote..Watakao bainika kuwa NI wapenzi wa kudumu au wana ndoa wakamatwe haraka, wafungwe kifungo kikali jela
Ng'ombe hazeeki maini.Yaani na wazee bado wanahangaika na mapenzi?wachaga mnazingua sana.
Tunamlaumu Shetani bureee. Mbona ni sisi wenyewe? Kwani Shetani alisema wapi eti mtu asichukue Tahadhari? Ww unamwona mtu kavaa uso wa malimao, kabeba shoka na anakufuata -halafu wewe unajijua huna misuli ya kukabiliana naye Halafu unamkenulia. Kweli???Shetani yumkini ameweka makazi yake Tanzania. Baada ya mauaji ya Oct 29, na kuona hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya wauaji, yumkini akaona aweke makazi yake.
Kiburi kimewajaa kama chote.Hatari, wanawake wakimbie kwenye mahusiano yanayohatarisha maisha yao..!!
Na nyie punguzeni umalaya mana haiwezekani mtu kulinda mali yake ionekane ni wivuWanaume mpunguze wivu
Hatua za kuchukua ni nyingi kuliko kutoa uhai wa mtuNa nyie punguzeni umalaya mana haiwezekani mtu kulinda mali yake ionekane ni wivu
Enzi zile kule Musoma, ilikuwa kama mwanamke(Mke) aliye kwenye mahusiano esp. aliyeolewa, kama Mume wake hampigi sana(kichapo cha nguvu) mwanamke huyo huenda kumshitaki na kudai kwamba hampendi. Cjui siku hizi.Na nyie punguzeni umalaya mana haiwezekani mtu kulinda mali yake ionekane ni wivu