Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

Another abdul nondo in making, serikali huwa inajipa shida yenyewe kuwapa airtime watu ambao badae wanakuja kuwapa shida...Shida ya maji inajulikana ipo nchi nzima, wenzetu nchi tajiri wanampaka backup water supply systems sasa unamkamataje mtu kwakuonyesha kweli tunashida ya maji...Tupambane na umaskini kwanza..
 
Kwa hiyo kumshikilia ndiyo imetatua shida ya maji hapo UDOM.?

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Anataka kutudharaulisha tuonekane hatufanyi kazi...
 
Bila Shaka na ww utakua ni police , akili zenu zinafanana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia nzima ipi hiyo unayoizungumzia? Unauhakika hizo picha wizarani au waziri atakuwa bado hajaziona
 
Serikali ya kidicteta uangalia mambo positive katika njia negative!

Huyu dogo katoa kama tahadhari ili kama mwanafunzi ana uwezo wa kuja na maji kutoka nje ya chuo aje nayo yaweze kumsaidia iyo taarifa ukiiangalia upande huo utaona ni taarifa postive.

Elimu elimu elimu police wetu wamefeli shule siwezi kuwahukumu!
 
Hata wewe hujui hiyo picha ilitakiwa atumiwe nani kati ya wizara,mbunge au waziri halafu unauliza kwamba dunia inawezaje kutatua....Wahi hospital kiongozi tena mloganzila hapo
 
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo.

View attachment 1330742
Kwa kosa lipi sasa? Wanakwenda kumfungulia charge gani. Kwamba amepiga picha ya uzushi na kukidhalilisha chuo? au kwamba sijui nini?
 
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo.

View attachment 1330742

Wanamshikilia kosa lipi sasa? Kwani yeye ndiye kasababisha ukosefu wa maji au amearibu miundo mbinu ya maji?

Hilo la kusambaza hizo picha kama kweli tatizo lipo, basi wamshukuru kwa kutoa taarifa kwa umma.

Hapo watamtafutia makosa mengine lakini hilo wanalolihita kosa la kusema ukweli halina mashiko kambisa
 
Mchochezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Havina uhusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…