Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

Hii ndio serikali ya wanyonge bhana baada ya kigogo kuipost Twitter ndio intelligence yetu ndio imeishia hapo maskini bado sisi wengine humu jf
 
Yale Yale, nilikatishwa masomo kwa mwaka mmoja kama adhabu ya kuainisha changamoto za chuo chetu hapa JAMII FORUMS.

Yet hawakuwa na ushahidi wa kutosha kama Bandiko ni langu ila waliamua kunikomoa.

Tanzania tuna kasumba ya kuukwepa ukweli. Mtu akisema kweli anaonekana adui hasa kwenye taasisi zetu. Tumekumbatia unafiki na ndio maana hatuendelei miaka 50 ya unafiki, wala sio uhuru.
 
Wanamuonea. Kwani ni uongo hiyo shida haipo ? Halafu UDOM walitoa gawio eti. Huku hata visima vya maji tu hawawezi chimba.
UKWELI unapozimwa huwa NI shida Sana. UDOM maji NI shida Kuna siku yanatoka na Kuna siku hayatoki uongozi ukiambiwa juu ya hili wanakuja juu. Nimekaa hapo kwa miaka miwili mabweni yenyewe mvua ikinyesha yana vuja
 
Ni shida sana aiseeee,hatujazoea haya mambo nchini kwetu,Uhuru wa kutoa na kuwepa taarifa Tanzania kwa sasa ni kama haupo
 
Tanzania Ni Pazuri Sana Nchi Ya Asali Na Maziwa
 
UKWELI unapozimwa huwa NI shida Sana. UDOM maji NI shida Kuna siku yanatoka na Kuna siku hayatoki uongozi ukiambiwa juu ya hili wanakuja juu. Nimekaa hapo kwa miaka miwili mabweni yenyewe mvua ikinyesha yana vuja
Chuo Kama Chakavu
Rangi Zimebanduka
 
Back
Top Bottom