Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Hakuna kitakachoendelea hap business as usual lakini najua ile kete yake kwenye corona imempiga knock out jp ndio hua anafanyaga hivyo akishindwa si mnakumbuka kete ya Lisu ilivyo mpelekea mzee kuchanganyikiw hadi kutaka 💀💀.

Mbowe pamoja na kukupa pole ila usirudi nyuma hio ni dalili kuwa adui ndio anarudi nyuma so wewe kaza kisawasawa watanzania sisitukonyuma yako.❤❤
 
Saa 6 usiku? Alikuwa anatoka wap? kuna shughuli za Chama muda huo zinafanyika?
 
Tuache kupaniki tusikilize taarifa yake. Muwe wavumilivu
 
Chadema wasubir Tu October tuwaongezee kaz yao pendwa ya kusema uchaguz ujao tutashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…