Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anko tutafika kweli ?..umefanya vizuri kuongezea taarifa. Asante kwa kuiboresha taarifa yako.
Tutafanyajeee sasa mkuuHaya mzee kauli mali
Niko Kantalamba Sumbawanga, ntajibuje Mambo yaliyotokea Dodoma? Msiamini kila mnachoambiwa kuwa Sumbawanga tuko beyond the technologyWewe acha kutapa tapa jibu hoja alikua anenda wapi jamiforums Sio yako huwezi kuwaamrisha Kama unavyo taka
Duhh.. [emoji849]Mbowe anatengeneza tukio ili apate umaarufu wa kisiasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Utani juu ya maisha ya watuView attachment 1472667
UCHAGUZI umekaribia kweli kweli.
tulipumzika na hao watu wasiojulikana lakini sasa wamerudi tena.
CHADEMA KUWENI makini.
TabutupuUtani juu ya maisha ya watuView attachment 1472667
Allah Allah..! [emoji17]
Kwani kuna curfew hadi uhoji alikuwa anatoka wapi? Hilo chama siasa imewashinda mumeamua kuwa magaidi tu.Wewe acha kutapa tapa jibu hoja alikua anenda wapi jamiforums Sio yako huwezi kuwaamrisha Kama unavyo taka
Acha upimbi ww, wauaji wakubwa nyie
Kwani kuna curfew hadi uhoji alikuwa anatoka wapi? Hilo chama siasa imewashinda mumeamua kuwa magaidi tu.