halafu eti pale pale alipopigiwa risasi Lisu !Hawa jamaa wanapenda sana kick
Wewe huko Rorya kuna bata gani wacha utani
Wewe msukuma vipi, Club gani wanatoka saa6?chadema hizi kiki zenu za kijinga zitakuja kuwapeleka pabaya pimbi nyie...
mtu mzimaa saa sita saa saba ulikua unatoka club au ?
ulikua unatembea kwa miguu ?
mafala nyie...
Mnyaka kafafanua kuwa ilikuwa majira ya saa sita kuelekea saaa saba ....na hata kama ingekua asubuhi ..haihalalishi uhalifu ....viongozi wengi wa kisiasa sasa hivi wanakesha kupanga mipango yao ya uchaguzi ...hata pale white house CCM muda kama huu wanafanya kazi masaa 24 .....Saa tisa za usiku alikuwa anatoka wapi chairman
"Auwaye kwa upanga, naye atauwawa kwa upnga". GOD is our only healer, we wish Hon. Mbowe quick recovery.Tanzania’s leader of opposition in parliament attacked, beaten up, injured
9th June 2020
A group of unknown people have assailed, beaten up and injured the Leader of Opposition in Parliament in Tanzania, Freeman Mbowe, at his residence in Area D, Dodoma.
According to preliminary reports from Dodoma, Mbowe met his assailants on the steps of his flat this night, June 7, 2020., shortly before entering his residence.
“He didn’t manage to enter. They dragged him, threw him to the ground, and beat him up severely, warning him against criticising the president. Before neighbours came to his rescue, the damage has been done. He is in severe pain. One his legs has been badly twisted, and he fears it is broken,” a family source told SAUTI KUBWA. He was rushed to Benjamin William Mkapa Hospital.
Mbowe and other Members of Parliament are attending a parliamentary budget session in Dodoma City, two months before this year’s general election.
Under President Magufuli, Tanzania has been characterised by brutal and demagogic politics since he came to power in 2015. In September 2017, the opposition chief whip, Tundu Lissu, miraculously survived an assassination attempt by unknown people who shot at his car and injured him severely at his residence in Dodoma.
Source : Tanzania's leader of opposition in parliament attacked, beaten up, injured - Sauti Kubwa
Taahira mkubwa wewe.
- Mume wa mtu unaamua kutembea usiku wa manane kwenda kujirusha mke wako unakuwa umemwachia nani? Wewe mh Mbowe kulikoni?
- Kwa mujibu wa maelezo wale watu waliomshambulua Mbowe walikuwa pale pale nyumbani kwake! Ameshambuliwa maeneo ya nyumbani kwake!! Inawezekana kabisa wale watu walikuwa ndani ya nyumba yake wakifanya yao wakati yeye ametoka!! Ninasema inawezekana! sijasema walikuwa nyumbani kwake! Maana naona wengine macho yamewatoka!! Ndiyo! wewe unamwacha mkeo unaenda kujirusha na yeye akiamua kuita watu wa kumrusha vipi hapo!!
- Sasa inawezekana wakati hao wageni wake wanatoka na yeye ndo anaingia! Wakaona wajihami na kumwumiza! Pole lakini acha tabia ya kutoka peke yako kana kwamba na bachala!!
- Yangu hayo tu!
Suala la muda siyo hoja dhaifu ukitilia maanani umri wake ni mtu mzima, ana mke, na ana wadhifa mkubwa!! Ni aibu ilioje mume wa mtu kufanya matembezi usiku wa manane ukijirusha (bila shaka na makahaba), mkeo unamwachia nani?Mkuu nawe tumia akili hata kama ana mlinzi, wakitokea hao vibaka 10 Huyo mlinzi 1 atafanya nini? Kuhusu swala la muda nayo ni hoja dhaifu.
Kwa Wasio kuwa na future ndio hulala mapema!Suala la muda siyo hoja dhaifu ukitilia maanani umri wake ni mtu mzima, ana mke, na ana wadhifa mkubwa!! Ni aibu ilioje mume wa mtu kufanya matembezi usiku wa manane ukijirusha (bila shaka na makahaba), mkeo unamwachia nani?
Mbowe amekua mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.Kuna mambo yanakasirisha sana
Tumia hoja kujibu hoja, usitumie matusi! Usiku wa manane mume wa mtu unatembea usiku (shughuli za usiku zinaekeweka), mkeo unamwachia nani? Je mkeo atafurahia tabia hiyo? Ukitilia maanani mtu aliyekuwa anamiliki klabu ya usiku bilicanas! Si alikuwa mahali penye shughuli kama ya bilicanas tu!!Taahira mkubwa wewe.
Kama nia yetu ni kumsaka mtuhumiwa iweje uutake uangalifu ikitajwa ccm tu?Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..