Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.Mbowe bhana, hivi hizi drama ni mpaka lini?
Yani mtu anazurura mpka usiku wa manane alafu hana walinzi kisa corona? Huko anakozunguka hakuna corona?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Yani Lisu apatiwe ulinzi na selikali?Sioni hoja yako ni ipi hapa, tatizo ni kutembea usiku au tatizo ni usalama mdogo wa viongozi wa upinzani? Maana kama tatizo ni kutembea usiku, Lisu yeye alishambuliwa mchana kweupe.
Na kama suala ni viongozi wa upinzani kuhitaji ulinzi kwa ajili ya usalama wao, basi Lisu ameomba zaidi ya mara moja ahakikishiwe usalama wake, lakini hakuna aliye tayari kumpa huo ulinzi. Wakati mwingine ndugu jiepushe na kutetea uovu, kwa sababu za kuungaunga.
Siku chache kabla ya tukio.View attachment 1472940
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Sijawahi watawala wanao uogopa upinzani kiasi hiki"Hakuwa na walinzi maana waliondolewa kipindi cha sakata la Corona, sasa wakati anapanda ngazi wakashuka watu watatu wakamuambia wewe unaisumbua sana Serikali, sisi hatuna mpango wa kukuua ila tunataka tukuvunje ili ushindwe kufanya kampeni"
View attachment 1472942
Chanzo:EastAfricaRadio tweet
Hawa jamaa wameshaona kuwa Chadema inaelekea kuwatoa kamasi sasa wameamua kumwaga damu.
kapigwa na nani kwani
InsaneHuyo Mbowe itakuwa kapigwa na wenzake tu wa CHADEMA baada ya kuonekana ku base upande mmoja wa Mgombea kutoka Chama Chake!!!
Hivi hawa majambazi wanatuvamiaga sisi tusio wanasiasa wakivamiwa wengene ni siasa pia mbowe hana maadui binafsi nje ya siasa najiuliza tuNianze Kwanza kwa Kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Familia yake, Wapiga Kura wake, Wanachama wake wa CHADEMA, Wanasiasa mbalimbali, Wabunge na Sisi Watanzania wa kawaida tusioegemea upande wowote ule (Mzukulu) nikiwemo kwa kilichotokea. Naamini Mwenyezi Mungu ataupigania Uhai wake ila kwa waliohusika Maulana / Mola atawajibu kwa Adhabu Kali kabisa.
Jana nilipoziona tu zile Nondo Kali na zenye Mashiko za Mheshimiwa Tundu Lissu nilihisi kabisa kuwa ili kuwapoteza Watu na Kuyahamisha Mawazo yao katika Kukijadili au Kuyajadili yale aliyoyaandika ambayo yote ni mazuri basi ni lazima tu Spinning ya Hatari ingefanyika. Kilichofanyika ni kutaka Kufunika alichokifanya Lissu jana kuanzia leo Watanzania wote tujikite zaidi katika Kuzungumzia hili lililomkuta Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Na Kiutaalam zaidi ili kuonyesha kuwa hawa Wahuni wanaolelewa vibaya na walijipanga ni kwamba itakuwa walijipanga tokea pale Taarifa za Mheshimiwa Tundu Lissu aliposema kuwa atazungumza na Watanzania hivyo hata Wao walishajipanga na walipoona Jana Mheshimiwa Tundu Lissu katoa Nondo ile Kabambe basi na Wao wakaamua Kulitekeleza hilo walilolitekeleza.
Kuna Mmoja namuheshimu sana humu ila sasa nitaanza Kumdharau amesema kuwa Mheshimiwa Mbowe Kavamiwa na Majambazi akiwa na Kimada aliyemnunua. Ameshindwa kujua ya kwamba Siku zote Mbinu za Kijasusi huwa zinaratibiwa vyema na Kimkakati zaidi kwa kuwahusisha Magenge ya Wahuni ili hata likija Kufanikiwa basi hao Majasusi wasijulikane moja kwa moja kama ni Wao.
Kwa hali ilivyo na kwa uelewa wangu mdogo sana wa Masuala ya Usalama ( Ujasusi ) ila wale wanaojua zaidi yangu hapa JF watanisaidia ni kwamba kwa Nyakati tuliopo na kwa Hofu ya Wapinzani na Agenda zao, na kwa Uchungu wa Kulikosa Jimbo la Hai ambalo wanalitaka na kwa kutaka Kuleta Hofu na Vitisho nitakuwa wa mwisho Kuamini kama katika hili Tukio la Mbowe hayo Mapanga hayakuwa na Sumu za Kijasusi.
Namalizia tu kwa kusema kama Tanzania ya sasa imefikia hapa ambapo Wanasiasa wanafanyiwa mambo haya mabaya halafu nchi ina Kiongozi Mkuu na ina Idara yake ya Usalama na mambo (matukio) haya yanatokea kila Kukicha ila wanayanyamazia basi huenda kwa Mwaka huu Tanzania ikawa na Vifo vingi vya Wanasiasa (hasa wa Upinzani) na Wanaharakati kuliko wale ambao labda CORONA ingewauwa au imewauwa.
Nawaombea LAANA mbaya sana na Kali mno kwa Mwenyezi Mungu hawa Wote wanaoyafanya haya na hasa huyo Mkubwa wao anayewatuma.
Kumekucha wameanza mapema Sana Hadi October si watamaliza watu.
Hivi hawa majambazi wanatuvamiaga sisi tusio wanasiasa wakivamiwa wengene ni siasa pia mbowe hana maadui binafsi nje ya siasa najiuliza tu
Chadema ni wapuuzi sana baada ya issue ya corona kubuma mmeanza mchezo wenu wa kujiteka,washenzi sana nyie,mtashindwa tu
Linaitwa sio linaitea
Ungeuliza utaalamu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaonaje wewe ukiwa ni kiongozi wa washenzi?