Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Nimesikia toka BBC asubuhi hii.

Amevamiwa akirudi nyumbani alfajiri ya saa tisa.

Kiongozi makini saa tisa usiku bila walinzi?

Usiku wa saa tisa bado kulala ili kujiandaa na majukumu siku inayofuata?????
 
Nilijua tu kwa mhemko wa maccm baada ya Lissu kutangaza nia lazima watapanic na kufanya ujinga. Green guard mnatupeleka wapi?
 
Tunako elekea siyo kabisa kama taifa.
 

Ni kweli hata Lissu alipopigwa risasi alilaani sana na serekali yake tulip na jinsi ilivyojitahidi kuwatafuta na kuwashtaki waliofanya kitendo kile.
 
Nimesikia toka BBC asubuhi hii.

Amevamiwa akirudi nyumbani alfajiri ya saa tisa.

Kiongozi makini saa tisa usiku bila walinzi?

Usiku wa saa tisa bado kulala ili kujiandaa na majukumu siku inayofuata?????
In case you don't know, kuna watu wanaolala maofisini, acheni ushamba wenu huu wa awamu ya tano.
 
Ohooooo! Sasa kawakosea nini? Simkubali saana ila sio kwa hadi kufurahia mabaya yampate. Hope hajaumizwa sana. Sasa hao waliomshambulia watafutwe na sharia ichukue mkondo wake. Get well soon Freeman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…