Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Nimesikia toka BBC asubuhi hii.

Amevamiwa akirudi nyumbani alfajiri ya saa tisa.

Kiongozi makini saa tisa usiku bila walinzi?

Usiku wa saa tisa bado kulala ili kujiandaa na majukumu siku inayofuata?????
 
Nilijua tu kwa mhemko wa maccm baada ya Lissu kutangaza nia lazima watapanic na kufanya ujinga. Green guard mnatupeleka wapi?
 
Washaanzisha Iterahamwe uliona hata Askofu Gwajima alitoa tangazo kwa lugha ambayo sio kiswahili la kuwahamasisha vijana wajiunge. Polisi walichukua hatua gani?

Haya makundi ya kihalifu siku wanatemtetea anaindoka watajeuka waasi na itahitaji nguvu kubwa sana ya kijeshi kuwaondoa
Tunako elekea siyo kabisa kama taifa.
 
Anayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.

Mh Philip Mangula amepewa sumu na tunaofatilia siasa muda mrefu tunajua misimamo yake iliyofanya adhalilishwe miaka ya nyuma kabla hajarudi tena awamu hii. Kuna mapito ya kisiasa tunapitia ambayo misuguano huko ndani inawezekana ni mizito mno na cheche zake ndio kama hizi.

Ni kweli hata Lissu alipopigwa risasi alilaani sana na serekali yake tulip na jinsi ilivyojitahidi kuwatafuta na kuwashtaki waliofanya kitendo kile.
 
Nimesikia toka BBC asubuhi hii.

Amevamiwa akirudi nyumbani alfajiri ya saa tisa.

Kiongozi makini saa tisa usiku bila walinzi?

Usiku wa saa tisa bado kulala ili kujiandaa na majukumu siku inayofuata?????
In case you don't know, kuna watu wanaolala maofisini, acheni ushamba wenu huu wa awamu ya tano.
 
Kama matendo yao yanapelekea "kupendwa" kama wanavyojinasibu kuwa ni watetezi wa wanyonge. Kwanini wahangaike hivi kuhakikisha wanatoa uhai wa viongozi wa upinzano hasa CHADEMA?.
Hotuba tu watu wameanza kuumizwa.. Vipi kampeni?

IMG-20200609-WA0004.jpg

Jr[emoji769]
 
Ohooooo! Sasa kawakosea nini? Simkubali saana ila sio kwa hadi kufurahia mabaya yampate. Hope hajaumizwa sana. Sasa hao waliomshambulia watafutwe na sharia ichukue mkondo wake. Get well soon Freeman.
 
Back
Top Bottom