Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Wanachadema wakiongozwa na ngurumo wameanza kuvumisha taarifa za uongo kuwa amepigwa so sad,Waliokuwepo maisha club watasema ukweli,jinsi mbowe alivyosukumwa na kimada wake aliemnunua hapa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]usitumie nguvu nyingi kupotosha ukweli

Jr[emoji769]
Kub maisha club anafanya nini?
 
sawa tumekusikia tutafanyia kazi ila nafsi yako ikusute
 
miguu ya mbowe mibovu siku nyingi kuna wakati huwa anatembelea magongo ikipona inatulia kidogo inaanza tena isiwe imeanza tena akitembelea magongo isemwe imevunjwa msema kweli mpenzi wa Mungu abishe kama hakuna wakati huwa anatembelea magongo
Huu ujinga ulioandika hapa ingekua ni Chadema ndio wameandika hivi mngeanza maneno ya kusema Chadema hawamuheshimu.... Sawa subiri. Mtafiwa tu nakuweka kiporo wewe mbwa
 
Tuna machungu ya Akwilina kuuawa, nae pia lazima aipate joto ya jiwe.
 
Nchi hii ukiwa upinzani hutakiwi kuumwa hata UTI maana watu hawachelewi kusema serikali ndio imekuletea UTI... Wanaokuwa upinzani pia ni watu na wana maisha yao nje ya siasa huwezi jua amekutana na nn au amekwazana na nan au ana ugomvi na nani!
 
Zito alitaka kupewa sumu ila huko ccm sumu mnapewa kabisa au umesahau juzi tu
hawez kusema ila anakumbuka ni rahis kusema jiran kalala njaa ila so kusema ww umelala njaa
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
kwani hata kama kashambuliwa inazuia nn huyo mtaja mbinu kutaja hizo mbinu zilizo tumika kumshambulia lisu
 
miguu ya mbowe mibovu siku nyingi kuna wakati huwa anatembelea magongo ikipona inatulia kidogo inaanza tena isiwe imeanza tena akitembelea magongo isemwe imevunjwa msema kweli mpenzi wa Mungu abishe kama hakuna wakati huwa anatembelea magongo

Umeulizwa?
 
Back
Top Bottom